Mchumba wangu, anatafuta mume J.F

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,663
Reaction score
7,785
Nimeona niandike uzi huu usiku huu,leo mchana kutwa Nilikuwa nikiwaza! Mara ya mwisho aliniuliza una mpango gani na mimi? Kumbe yupo humu anatafuta mchumba ,vigezo alivyotaja vyote ndio ninavyo mimi...Huyu mchumba jamani mkataeni arudi kwangu,mwezenu sijalala leo....Kinachoniumiza ni yule chura tu.
 
Jibu la swali alilokuuliza ndilo lililomfanya aanze kutafuta mchumba mwingine
 
tupe ID yake tuone kama kweli anatafuta mchumba humu,,hata namba yake ya simu siyo mbaya ukitupatia
 
Dah...unamshibisha lakini?? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Lazima atafute mume.

Mwaka wa pili huu hujamuweka ndani na ndoa anaitaka.

Jifikirie upya na ufanye mikakati ama utampoteza.

Usisingizie kibarua. Kama yupo na wewe 2 years ina maana anaelewa kipato chako na hali yako amekubaliana nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…