Habari za mchana wana Jf,
Iko hivi..nimekuwa kwenye mahusiano na mdada flani hivi huu mwaka wa pili sasa ila sasa pale napotaka kumkumbatia ananiwekea kizuizi hataki hata nimguse nikimuuliza kwanini anajibu ana mashetani kichwani yanamsumbua
Sasa mimi baada ya kuona vituko vyake vinazidi nikaamua kutongoza kademu hivi kamahitimu form4 mwaka jana kwa bahati nzuri kalikubali nilipoomba mbunye nikatunukiwa nami nikala tunda kwa kupoza maumivu
Mchumba wangu alipoona nimepunguza mawasiliano akaanza kulalamika nimembadilikia nimekuwa shetani,,mi nikamwambia nimetongoza demu mwingne maana unanisumbua tu