Mchumba wangu kaenda chuo cha polisi

Sikubaliani na hilo hizo nifikra kivuli,kwanza hata angempeleka wapi kama demu kazoea kugawa atagawa tu, na kwanini ahisi Kuchapiwa asihisi vingine? kwani hiyo papuchi imekua sabunu kuwa ikitumiwa inaisha agaaah

Hapo mwisho umeshasema kila kitu
 
Nina maumivu sana saivi na nimeelewa ulichomaanisha. Nikipoa nitaleta mrejesho wa thread yangu hii ila niko hoi bin taabin siku ya 5 leo.
 
Mkuu subiria mrejesho wangu wiki hii kwa kweli demu ni demu si wa kumwamini hata kwa 25%. Ameniumiza sana huyu binti.
 
watamtumbua tu....maana hamuna namunaaaa teh.teh.teeeee.......
 
Mbona unazidi kumtia presha mwenzio..
 
Kwa sheria zao anatakiwa afanye kazi miaka mitatu ndio aolewe
 
Mimi nashauri polisi waowane wenyewe kwa wenyewe, sisi mambo yao hatuwawezi. Raia wa kawaida ukioa askari hata kama haliwi na Wakubwa wake huta amini, Mfano kwenye lindo mke na mume wanalala room moja usiku mzima, nimeshuhudia hili kwenye kusimamia mitihani, boss akimtaka Afande mwenzie anampata kibabe, huko kwenye mafunzo ndo nasikia wanatafunwa kama nyama choma kuanzia Kupata nafasi wanakula, akienda huko kama ni mvivu kwenye kwata ili apumzike Lazima agawe Mzigo. Kama uko serious unampenda akirudi kwanza mkapime afya zenu halafu mkae muelimishane kwa kina mnataka nini katika maisha yenu.
 


Mkuu, naomba contacts zake nimsalimie kidogo.
 
Hiyo ya kuolewa sijui....

Ila kama hofu yako ni kumegewa hata angeenda chuo kingine kama mwenyewe akiamua kumegwa angemegwa tu

Wewe ndio unamjua mpenzi wako...hofu ya nini??
Usmpe matumaini huyo jamaa,kifupi huyo mwanamke hafai tena hana adabu,unanidanganya unaenda kwa shangazi halafu unaenda sehemu ingine,na tulishakubaliana kazi ya polisi hapana,sasa nikikuoa si utakuwa unanidanganya naenda saloon kumbe unaenda kuniletea ukimwi,uongo ni moja ya sababu kuu ya kuvunja uhusiano,.,.,..perioooooood.
 
Mpe support pale atakapoihitaji;
hapo ana uhakika wa kupata ajira;
mwache akasome, kama ni kuliwa hata
akiwa kwenye ndoa takatifu ataliwa tu;
Mwombe salama ili ahitimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…