Mchumba wangu kaenda chuo cha polisi

Ase pole sana,,,, huko wanamegwa balaaa, akichoka tu na zoezi anatokea bedui anamuambia twende ukapumzike kwavile yupo nyang'a na uchovu, kalegeo anapelekwa analiwaaaaaaa hadi asubui saa 10,

akitoka ss anapangwa kimondo hukoooo, au kichocho. Huko sasa ndo bas tena atamegwa kituoni kwenye sero au lindo anapangwa na midume wawili, wanammega wote.

Au kwenye kusimamia issue yoyote ya kiserikali akipangwa na dume, kwisha habari yake kama kusmamia mitihani oooooooh tafuta mwingine man, huyo atamegwa awe mlokole awe mpagani kuliwa mule mule....

Mwanamke mzuri wa kuoa ni mwalimu tu kama unataka mfanyakazi.

Na wenyewe wanaliwa sana sikuizi, lkini kidogo angalau.

Pole sana.
 
Polisi hawazingatii sheria ya kufunga ndoa baada ya mafunzo, anaweza akatoka depo akafanya ile style ya come and stay
..
 
Bila shaka saivi kashahitimu mafunzo CCP, wewe umeamuaje awe mke au unamtosa?
 
Inategemea na utashi wako......

Hata asingeenda polisi kama akiamuankumegwa atamegwa...akiamua asimegwe hatomegwa
 
Inategemea na utashi wako......

Hata asingeenda polisi kama akiamuankumegwa atamegwa...akiamua asimegwe hatomegwa
Swala la kumegwa ni issue ingine bhana,wanamegwa masister au watawa wa kanisani itakuwa hilo kandemba?,mimi nimesema amfukuze na vibao juu,sio kwa sababu ya kujiunga polisi,mwanamke muongo hana haya anaaga anaenda kwa shangazi,kumbe yuko Moshi depot,huyo hafai,siku akimuoa atakwenda kukazwa na atamletea ukimwi, na kumwambia nilikuwa kwa dada.MAZA FAKA BLOOD KICHECHE,.
 
Bila shaka saivi kashahitimu mafunzo CCP, wewe umeamuaje awe mke au unamtosa?
Amehitim ndio ila kaniumiza sana dakika za mwishoni yaani siku 3 tu kabla ya kula kiapo. Na hapo alikuwa ametumia mapesa yangu mengi sana kwa gharama za msosi na mambo mengine huko hata sare zake. Nitaleta mrejesho nipoe kwanza mkuu maana hapa niko hoi kisaikolojia msosi haupandi nakula ila sishibi na njaa sisikii wala kiu toka 22/06/2016 nilipoongea na boya wake mmoja hivi huko "SESEPI"
 
Hiyo chakula ya watu tu akirudi huko wamesha mbadilisha kutoka fikra za kiraia kuingia fikra za polisi halafu hawatakagi mapenz we jiandae na vurugu zake akimaliza mafunzo.
 
Ndugu yang pole sana i know how you feel ntakuambia hivi PM..lakin mada kama hizi ningekushaur umtafute mtu wa makamo aliepitia na anayejua maisha akushaur vizur lakin kuleta huku utajiongezea stress kama unavoona baadh ya watu humu nati zimekatika kichwani kwaio hata anachokushaur halina maana na %nyingi hayana ukwel ..so utazid kujiongezea mawwazo...ila kwa huyo mwenzio atleast hata angekuambia mapema kuliko action aliyoichukua ya gafla na bila kukutaarifu anakupigia sim tayar yuko kambin ...hata hamjaongea kufarijiana mtu anakuaga tu ovyo ..mm ningeendelea na maisha yang madam hujaniaga vizur na zaid hatujapeana promise yoyote ..wa nini bwana ...mi naendelea na maisha yang mana mtu anakuambia tuonane mwakan ..yan kihuni tu ...arrgh
 
Kwa Plc hata akimaliza mafunzo na kupangiwa anaolewa Lakini wangekuwa kaka zetu miaka 5 ungesubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…