Mchumba wangu katekwa na binti wa kichaga naomba maombi yenu!!!!!!!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Sio mimi jamani nasikiliza redio ya mama rwakatare watu wanasema shida zao ili waombewe
kuna dada anaitwa katherine wa tegeta anaomba maombi yenu ameporwa mchumba wke na
binti wa kichaga msilamu ataki hata kumsikia ameomba ajitahdi hata awe anaenda nae tu kanisan kama kawaida anamkatia simu
utamsaidiaje huyu mwenzio alale na amani mpaka ameweka kwenye redio yamemkuta kweli kweli bahati mbaya nimeshindwa kukumbuka namba yake ningetaka kumuuliza mchaga anatoka kilimanjaro sehemu ipi maana kuna ngome zingine aziguswi unaweza fwatilia ukaishia kurudishwa na double coaster kwenu full kilio

msaada jamani
 
Mkianza kumuombea huyo juu jamani msiache kumuombea huyu binti ameomba maombi yenu anaitwa rahel anasoma hedaru sec baba na mamake wamefariki jana kwa ajali wakiwa wametoka kumuacha shule amezika leo...nimeomba sana mungu ampe nguvu na uvumilivu jamani ni ngumu kuzika wazazi wote wakati mmoja......

Ukiwa na maombi tune 99.2 usiogope utaji ama kuulizwa jina tunachukua shida zako tunakuombea na kuomba wana jf wakuewek mikononi mwa mungu

kila siku na kipindi muhimu sana sana pengine unaweza funguka kupitia watu wengine ukakuta kumbe shida yako ndogo sana na unaweza kuisolve kirahisi
 
Amuulize kwanza Mungu kama huyo ndo wake alompangia,pengine hayakuwa mapenzi ya Mungu,kama ni wake awe mvumilivu na azidishe sala tu Mungu wa miujiza atamrudisha....sometimes tunalilia na kung'ang'ania waume za watu kumbe hawakuwa kwa ajili yetu...lol:A S-coffee:
 
akubali tu keshachukuliwa,the earlier she accept this the better,eti amechukuliwa mchumba kwani huyo mchumba yeye ni nyanya sokoni,zinabebwa tu?????? mwambie a move on asiexpect miracles....mungu hajamuandikia huyo...akazane kuomba aonyeshwe wa kufanana naye.
 

inasikitisha sana lakini yupo Mungu wetu ambaye ni baba wa yatima atamtunza na kumpigania hata mwisho wa safari yake asichoke kumngojea na kum2maini Jehova Nisi,
 

kabisaaaa mapenzi ya Mungu yatimizwe si yetu,na maombi yanajibiwa ukiomba sawasawa kwa hiyo asilazimishe halafu kama ni wako ni wako tu
 

Hili kweli hata magoti nitapiga, Mungu ampe faraja na nguvu na zaidi imani. Yeye ndiye anapanga maisha yetu hapa duniani,atakuwa baba yake na mama yake na atamuongoza daima,kwa kuwa yeye ni baba yetu ambaye akianza kazi anaimaliza kwenye maisha yetu. Natamani ningemjua tusingekosa la kumsaidia.
 
kwa kweli na hivi sa hz tumeshafunga biashara kyekue ni mahali tumepumzika lazima tuende nae,

Imagine mtu anapiga simu anaomba eti aombewe kaibiwa mchumba na binti wa KICHAGGA, kuna uhusiano gani kati ya kuwa mchagga na kumuibia mchumba wake?? ukabila....ataelewa!:washing:
 
Rahel, Jesus ni Baba wa yatima kamwe hatokutipa ukimtumainia. Mungu akujalie Imani.
 
Huyu nitamuombea. Mungu alaze roho ya marehemu mahala pema (Inna lilahi wa Inna illahi rajjun).
 
Hehehehe ndo maana nimesema na bado dearest, maana kila siku ohhh "siwataki" "wao pesa tu" "magogo kitandani" na bado wanachukuliwa mikononi kwa wapenzi wao.

Mara tunaua waume zetu...yaani watu wanachukulia event kadhaa wanafanya kabila zima kuwa wako hivyo...sasa waongeze kuwa tunakwapua wachumba mikononi mwao....watashangaa tunaolewa,wao wanabaki kutangaza ubaya,wanaume tunawatunza tu vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…