akubali tu keshachukuliwa,the earlier she accept this the better,eti amechukuliwa mchumba kwani huyo mchumba yeye ni nyanya sokoni,zinabebwa tu?????? mwambie a move on asiexpect miracles....mungu hajamuandikia huyo...akazane kuomba aonyeshwe wa kufanana naye.
Pole zake nyingi Mungu azidi kumfariji na kumpa nguvu katika kipindi hiki kigumu. Yupo nasi katika salaMkianza kumuombea huyo juu jamani msiache kumuombea huyu binti ameomba maombi yenu anaitwa rahel anasoma hedaru sec baba na mamake wamefariki jana kwa ajali wakiwa wametoka kumuacha shule amezika leo...nimeomba sana mungu ampe nguvu na uvumilivu jamani ni ngumu kuzika wazazi wote wakati mmoja......
Ukiwa na maombi tune 99.2 usiogope utaji ama kuulizwa jina tunachukua shida zako tunakuombea na kuomba wana jf wakuewek mikononi mwa mungu
kila siku na kipindi muhimu sana sana pengine unaweza funguka kupitia watu wengine ukakuta kumbe shida yako ndogo sana na unaweza kuisolve kirahisi
Atakaa sawa tu, si wanasema sie magogo?? sasa let her watch the movie...lol....hatutanii siku hizi kyekue!!
Mkianza kumuombea huyo juu jamani msiache kumuombea huyu binti ameomba maombi yenu anaitwa rahel anasoma hedaru sec baba na mamake wamefariki jana kwa ajali wakiwa wametoka kumuacha shule amezika leo...nimeomba sana mungu ampe nguvu na uvumilivu jamani ni ngumu kuzika wazazi wote wakati mmoja......
Ukiwa na maombi tune 99.2 usiogope utaji ama kuulizwa jina tunachukua shida zako tunakuombea na kuomba wana jf wakuewek mikononi mwa mungu
kila siku na kipindi muhimu sana sana pengine unaweza funguka kupitia watu wengine ukakuta kumbe shida yako ndogo sana na unaweza kuisolve kirahisi
Atakaa sawa tu, si wanasema sie magogo?? sasa let her watch the movie...lol....hatutanii siku hizi kyekue!!
Hehehehe ndo maana nimesema na bado dearest, maana kila siku ohhh "siwataki" "wao pesa tu" "magogo kitandani" na bado wanachukuliwa mikononi kwa wapenzi wao.
Na bado. . .
hawa tunakwenda nao sawa tu mpenzi, wataelewa tu!
mmh piddy ..nilivyona tu jina nikajua na neno wachagga lipo...
Magogo, wakatili, wapenda pesa, wasio na utu , wababe , wauwaji wame .... Tokalini tukapedwa mpka cha kukimbia na mchumba..lol
rip wazazi wa bint hedaru
huwa na penda sana hivi vipindi. Je hiki ni radio station inaitwaje? Ni ya dar au?
Huyo dada wa kwanza yaani acha tu anahitaji mungu tu ndie awezaye yote kama wake atarudi kama sio wake tena basi imetoka hiyo
wazazi wa binti wa hedaru sec may they r.i.p.
Lizzy ,
We mchaga nini ?