.....Ila mkuu kuna wanawake ambao wako generally accepted kwamba ni wazuri, mfano wa akina Kim Kardashian au yule mtawala wa Misri - Cleopatra. Ukisimama kukana kwamba si mzuri watu wanaweza kukushangaa mkuu!
Haya mambo ya wanaume kuogopa wanawake wazuri ndio maana wanawake kama kina halley berry hawapati waume, kila dume linakuwa na wasiwasi tu kuibiwa, wakati wasichana hata hawana mawazo ya kuwachiti