Jana nimmesikia kaka anasema baba nimepata mchumba ila uko mtaa wa pili sio mbali na nyumbani, Basi baba akamjibu bro hongera mtoto wangu ehe! Yukoje [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ila una madirisha makubwa na mlango mkubwa.
[HASHTAG]#mzee[/HASHTAG] mwanangu hauko serious mi nkajua mkwe duh! hii nona kweli