Natafuta mchumba umri kuanzia miaka30-35
Awe mkristo (asiwe sabato)
Awe na kazi yakumuingizia kipato.
Aliyetayali kuwa mume wamtu na anaejitambua nakujieshimu.
Nb.sitaki brah brah njooo pm nautume picha zako first SMS zote zitajibiwa pm
Nanyie wenye mapovu ruskaa povukeni.
NB: ni binti kt 20-30..wamikoa ya DSM ,tanga ,moro,pwani. atapewa kipaumbele