saidikobelo
Member
- Oct 28, 2018
- 75
- 25
Naitwa Saidi kobelo nipo kijijini TULIANI wilaya ya Handeni natafuta mke umri isiwe zaidi ya miaka 35 awe muislamu mwenye swala tano mwenye elimu ya mahusiano awe tayari kufanyakazi kwaajili ya familia yetu angalau awe form four na pia angalau awe anaye shaurika
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app