Mchumba

Mussa salumu

Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
10
Reaction score
0
Natafuta mchumba sifa awe na heshima pia mavazi ya kujieshimu umri 20-30 ukijiona unasifa hizo usisite nitafute kupitia 0713422764
 
Unatafuta mchumba kama dalali wa vyumba. Jipange mkuu tongoza kila mwanamke anayekatiza mbele yako.
 
Eleza wasifu wako wa ndani na nje
 
Unaweza pata wa jinsi kama yako humu ohoo! Umri wako?
 
Ebu weka cv yako sawa kaka,huna dini? unafanya nini unaishi wapi? kabila gani.....
 
Picha cjajua jinc ya kuiweka ila wale ambao wapo facebook wanaweza kunicheck kwenye majina yafuatayo bakari mussa mkumba na jina hili ninalotumia humu na nafanya kazi ya plumber
 
Picha cjajua jinc ya kuiweka ila wale ambao wapo facebook wanaweza kunicheck kwenye majina yafuatayo bakari mussa mkumba na jina hili ninalotumia humu na nafanya kazi ya plumber

Mkuu facebook ndio pazuri kutafuta coz unamuona mtu live live,huku kuna ma-invisibe na the invisible kibao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…