sam0309
Member
- Aug 11, 2012
- 9
- 0
Am Johnson, nina miaka 32, elimu ya chuo kikuu,ni mwajiriwa.
Nahitaji mchumba mwenye sifa zifuatazo;
1. Elimu; kuanzia kidato cha nne
2. Mwonekano; asiwe mwembamba sana, mfupi sana, wala mrefu sana.
3. Dini; yoyote.
Anaehisi ana vigezo hivyo hapo juu, tuwasiliane kwa jsam0309@gmail.com