McCOY
Member
- Nov 22, 2011
- 74
- 38
Wakuu mambo vp! Mi natafuta mchumba ambae yuko serious na maisha, anakunywa bia, club kimtindo, mweupe,mrefu, umri kuanzia 20-26. Mi umri wangu 28, pia asiwe machepele/mcharuko,mengine tutajuana na kurekebishana mbele kwa mbele. Ni PM au tuma mail ngwitwa@gmail.com