Mchumba

Msai

Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
32
Reaction score
4
Natafuta mchumba wa kuoa mwenye sifa hizi: awe na Kazi.awe na Nyumba ya kuishi. Awe tayari kuwa katika ndoa wake zaidi ya mmoja.awe naheshima. Alie tayari awake namba yake hapa
 
hakuna mwanamke ambaye yuko tayari kuolewa mitala unless kuna kitu anatafuta....am just saying
 
Mi nipo tayari.......lakini kukutaarifu nitakuja na my mtu chake........na kuhusu nyumba......Ina maana unataka kuja kuishi kwangu......?
 
Last edited by a moderator:
ndo maana wanaume wanaoliwa tigo wameongezeka duniani
 
Mnanishangaa wakati kuna mwenye miaka55 anataka dogo na anacho everything
 
Awe na kazi na nyumba yake.. na bado unasema unaoa tena umtie kwenye kubanana. I hate this!
 
mmh, siku hizi asilimia kubwa ya wanaume ni wanaume jina tu a.k.a wanaume suruali.
Yaani unataka mwenye nyumba na bado unamuweka kwenye msongamano.
Kwa mtindo huu sidhani km ntaolewa mie loh!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…