Mchumba

Huyo mchumba amezidi ..pole sana mweleze tabia yake huipendi kama mnataka kufika mbali na uchumba wenu
 
Basi naombeni msaada nimpate mchumba mwingine niachane na huyu wa kunipiga mizinga2.ila awe mschana mkristo mwenye kumjua mungu umri uwe miaka 20-25.tuwasiliane kwa email(salawaps@yahoo.com).
 
Hapo sasa umeharibu huko mtaani hakuna wasichana?
 
Basi naombeni msaada nimpate mchumba mwingine niachane na huyu wa kunipiga mizinga2.ila awe mschana mkristo mwenye kumjua mungu umri uwe miaka 20-25.tuwasiliane kwa email(salawaps@yahoo.com).
Huyo ambaye sio mcha Mungu ulijitafutia mwenyewe
sisi unataka tukutafutie Mcha Mungu? we vipi, acha uvivu....get out there! they are plent of them praying to get men like you!
 
basi naombeni msaada nimpate mchumba mwingine niachane na huyu wa kunipiga mizinga2.ila awe mschana mkristo mwenye kumjua mungu umri uwe miaka 20-25.tuwasiliane kwa email(salawaps@yahoo.com).

chemsha bongo yako unataka msaada kwenye tuta ambalo wewe mwenyewe unaweza ukapunguza spidi
 
Uvivu na uwoga ndo unamsumbua....anaishia kukamata vitoto vya uswahilini vinavyouza sambusa@!
mmmh,humu ndani watu mna maneno,kwani wa uswahilini sio watu jamani.pengine hawakupenda kuishi uswahilini ila ndio maisha.
 
Basi naombeni msaada nimpate mchumba mwingine niachane na huyu wa kunipiga mizinga2.ila awe mschana mkristo mwenye kumjua mungu umri uwe miaka 20-25.tuwasiliane kwa email(salawaps@yahoo.com).

kaka unajua maana ya neno mchumba kweli?
 
Mweleze ukweli! Na mwambie hy tabia huitaki.... Then endelea na huyo huyo!
 
Je kuwa na mchumba ambaye kazi yake ni kubeep na kuomba vocha2 na hata ukimtumia anaishia ku2ma msg ya thanks,je huyu atakuwa mchumba wa kweli?.:violin:

Mdogo wangu uliwahi kuusikia wimbo wa Mr.Paul unaoenda hivi 'dola kumi kila siku waishia kunibipu wampigia nani? waishia kunibusi waenda na nani?'
 
Je kuwa na mchumba ambaye kazi yake ni kubeep na kuomba vocha2 na hata ukimtumia anaishia ku2ma msg ya thanks,je huyu atakuwa mchumba wa kweli?.:violin:

Huyo ni mchumba kweli au Gfriend jamani?mmhh kaka pole sana km unataka awe mchumba inabidi ufikirie tena coz sidhani km utakuwa umechelewa kabla haijala kwako kaka,pole sana kwa hilo.:confused2:
 
Ngoja niwasiliane na Baraza la Kiswahili nione hii misamiati kwanza

Fidel80 Naona umeteleza ukakasi nihali ya ugwadu,mfano ukila embe bichi lisilotimia umri wake ile hali yakukufanya ukunje hata uso ule ni ukakasi,mbilimbi niukakasi!:becky::becky:
 
Je kuwa na mchumba ambaye kazi yake ni kubeep na kuomba vocha2 na hata ukimtumia anaishia ku2ma msg ya thanks,je huyu atakuwa mchumba wa kweli?.:violin:

Huyo kaja kukuchuna. Tena ujue basi ukishamtumia hiyo vocha anampigia ambaye yuko naye kiukweli.
 
Basi naombeni msaada nimpate mchumba mwingine niachane na huyu wa kunipiga mizinga2.ila awe mschana mkristo mwenye kumjua mungu umri uwe miaka 20-25.tuwasiliane kwa email(salawaps@yahoo.com).

Nimeshagundua udhaifu wako....! Kumbe hakuna ulichonyimwa, bali huenda anajaribu kukusogeza karibu lakini unakuwa mwoga....! Sasa unataka tukutongozee...! Basi kama ni hivyo, unielekeze tu mimi huyo uliyempenda, nitakutongozea lakini usije laumu mimi kuwa ex wake....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…