PSYCHOLOGY
Senior Member
- Feb 10, 2011
- 177
- 14
Habari JF!
Hii inakuaje?
Jamaa haishi kuwabadili wachumba lakin mke akioa ni mwezi utasikia ametengana nae! Anatatizo gani huyu?

Ndo nini hii, wewe nahisi umeishia darasa la 3

Enzi za mkoloni.

Hapo umenchekesha kweli....bado una mawazo mabofu kabisa ...cjui uelewa wako unatumia kipimo gani? Unatia aibu kwa kajiswali kako!

Ningeandika kwa kizungu ungesemaje pia?