klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
hehehe aspirin imeshindwa au ishaexpire? nazindua albami jipya neksti wiki linaitwa " mafua ya nguruwe" uskose kuhuzuria, mrema atakuwepo.Ha ha ha ha Cloroquine bora umerudi kuna member ana Malaria Sugu na kichaa naomba ukamtibu tafadhali
The same tou FL1 :whoo::whoo:
hehehe nilikumiso pia , niko huku shoki slovakia huwezi kuingia jf mpaka upewe kibali na govementi ya serikali yao, nilikubeep ikapokea njemba ya kiume ikabidi nijigeuze voice mail kuepuka intavyu isio na ulazima eheehhe naona vijana wa manzese wameiba mpaka chatroom la JF.
posted via bluetooth
hahaaaaa:teeth::teeth::teeth::teeth::teeth::teeth::teeth: dhu huyo men nahisi atazimia kama anabakwa hahaaaaa
The same tou FL1 :whoo::whoo:
nyc weekend 2 all of you good peoplez
Mbona nchi ya Chechoslovakia ilishasambaratika miaka ya tisini na haipo tena ?
nyc weekend 2 all of you good peoplez
Beyonce Knowles. Demu wake Jay Zeeni mrembo gani huyu?