mchunga/mke anaitajia

tito majala

Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
25
Reaction score
3
anaitaji mwanamke umri kuanzia 30-45 asiwe mfupi, rangi yoyote naishi dar umri wangu miaka 39 alie tayari tuwasiliane 0763004203 au 0658004203. elimu yangu kidato nne ila ninaujuzi wa kazi na sichagui elimu
 
Umri umekimbia sana sheikh! Miaka 39 bado unahangaika,zipo loose ball kibao humu zitakutafuta tu.
 
Nakushauri nenda pasada utapata huyo mwenye vvu tena unachagua mwenye C4 unazozitaka goodluck
 
anaitaji mwanamke umri kuanzia 30-45 asiwe mfupi, rangi yoyote naishi dar umri wangu miaka 39 alie tayari tuwasiliane 0763004203 au 0658004203. elimu yangu kidato nne ila ninaujuzi wa kazi na sichagui elimu

Una miaka 39 unatafuta mama hadi miaka 45? Wa mama wa umri huo wanakuwa na miji yao na mihela yao? Sasa wewe hujasema una kitu gani ili inferiority complex isikumalize ukafa mapema. Halafu eleza kama una watoto au ulishaoa akafa au mkaachana maana kwa umri wako huo ni lazima uwe na watoto wakubwa kama hukuwa unacheza makinda na maisha.

Halafu pia kwa umri wako huo unataka uchague na urefu wa mwanamke? Ha ha ha!! wafupi hawana nafasi? Wewe ni mrefu wa futi ngapi? Kwa hakika kama utampata wa kukutafuta itakuwa ni bahati sana!!! Kumbuka kama wewe ni mkristu, mke ni kutoka kwa Mungu na awe ubavu wa ubavu wako? Je huyo uliyekuwa naye au ambao umeshakuwa nao (kwa umri wako ni lazima uwe umekuwa nao wa kila rangi na kimo) sasa kama walikuwako warefu si mliachana? Kwa mantiki hiyo nakushauri kuwa mke ni yule ambaye mnaelewana na mnaweza kuishi pamoja kwa amani na upendo!!!! Kama una watoto ni yule ambaye atakuwa tayari kuwalea watoto wa mwanamke mwingine kwa upendo!! Mimi ni mrefu na nimeoa mke mfupi wastani na watoto ni bomba kabisa. Kwa muda wote huo umeshapata maana tangazo lako ni la muda kidogo. Hakika tunatakiwa tuboreshe jinsi ya kutangaza matangazo yetu ili soko lipatikane!! Kila la heri Mr. Majala. Ukipata tujulishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…