Mchungaji ahukumiwa kifungo miaka 140 kwa kuwabaka watoto wake wawili

Mchungaji ahukumiwa kifungo miaka 140 kwa kuwabaka watoto wake wawili

Ikaria

Member
Joined
Jul 17, 2019
Posts
93
Reaction score
238
Mchungaji mmoja wa kanisa la Akorino, kwa jina Gichina, kutoka Ndiaa kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya amehukumiwa kifungo cha miaka 140, baada ya kukiri kuwabaka binti zake wawili na kila mmoja akashika mimba.

Akitoa hukumu hiyo Hakimu Anthony Mwicigi amesema hukumu dhidi ya mshukiwa imeambatana na kukiri kwake mwenyewe kwamba alitekeleza maovu hayo.

Kwa kila kosa Mchungaji (umri 51) amefungwa miaka 70 ambayo sasa itakuwa ni miaka 140 kwa kuwa aliwabaka watoto wawili.

Watoto wote wawili walibakwa tarehe 30 June 2019 na Agosti 2019 mtawalia. Binti wa kwanza ana ujauzito wa miezi 7 na mwenzake ana miezi 5.

Kabla ya kuondoka kizimbani Gichina amesema ni shetani aliyempelekea kufanya vitendo hivyo na kuomba msamaha kwa watoto wake.

=========


Kirinyaga pastor sentenced to 140 years in jail for defiling daughters​


A 45-year-old man has been sentenced to 140 years in prison by a Baricho Court after he pleaded guilty to defiling his two daughters in Ndia, Kirinyaga County.

John Gichira was brought before Principal Magistrate Antony Mwicigi who sentenced him to 70 years in prison for two counts of incest each.

The accused was charged that in June 2019 on diverse dates, he defiled and impregnated his 16-year-old daughter who later gave birth to a girl who is now seven-months-old.

The court was told that the matter was not reported and the suspect continued to live in the same compound with the girl.
He was also charged that on August 2020 on diverse dates, he defiled and impregnated his 14-year-old daughter who is now expecting a child.

The matter was reported to Baricho Police Station by the area chief, prompting the suspect to escape till when he was traced and arrested in Mbeere South, Embu County.

Asked whether he was aware that the charges he was pleading guilty to attract a life sentence, the suspect answered in the affirmative.

The prosecution tabled as evidence the medical records for the two minors obtained from Sagana Sub-county hospital where they were examined.

Subscribe to our newsletter and stay updated on the latest developments and special offers!

On mitigation, the suspect told the court that he was aware that he committed a crime and asked for forgiveness from both victims and the court, saying that everybody makes mistakes.

20210114_105715.jpg
 
Safi afungwe miaka mia arobaini na siku ya kutoka anyongwe hadi kufa.
 
Shetani kampitia kwa vipindi tofauti. Hii ni hatari
 
Hapo ndio unapoona umuhimu wa abortion sasa hao watoto watakaozaliwa watakua na baba au na babu ? Aibu hiyo
 
Ni zaidi ya ukatili wa kijinsia hata hiyo adhabu aliyopewa haitoshi kulingana na Hilo kosa..

Hivi ni shetani gani anakupitia ubake watoto wako wawili ndani ya siku moja..bila Shaka itakuwa ni Imani za kishirikina

Eti ni mchungaji wa kanisa au ndio hivyo watu wameshajua dunia haijuridii
 
Aisee. Kawabaka kwakua ni under age au kawabaka as in alitumia mabavu?
 
Back
Top Bottom