Mchungaji aliyedai kuvunjiwa Kanisa Zanzibar afunguka. Serikali yatangaza kumsaka, yasema ni nyumba siyo Kanisa

Zanzibar ni wadini kupita kiasi
 
Serikali nzima ya Zanzibar ni waislamu tupu
 
Unaongopa, Uislam unataka kila mtu awe Muislam nje ya hapo wewe ni KAFIR
 
Manabii weusi wapo bhana akina nabii Tito na wenziwe!
 

Hawa waliokuja kuuwa waislamu Zanzibar kwa maalfu walitoka kanisa lako? Hivi unaisoma biblia yako vizuri ?
Humo ndio Kuna amri Za kuuwa wasio wakristo , Na tunawaona mnavyouwa watu kila unapofika uchaguzi.
By THE way waliompiga risasi Lisu ni waislamu ? Wale waliompoteza Ben Saanane Na wengine ni waislamu ?
 
Jinsi gani mlivyo na upeo mdogo..mali na fedha kutoka Tanganyika mnataka na mnalilia mpewe ziada..ila watanganyika hamuwapendi..ndio ule ule unyani wakukataa kula kitimoto ila supu yake mnakunywa..absurd.

#MaendeleoHayanaChama
Mali gani mnayotupa Bure ? Labda kuja kutuuwa , kututia vilema Na kutuvutugia nchi Na kuweka vibaraka wenu kila ufikapo uchaguzi
 
Dini ya magaidi hiyo..wazee wa jihadi kuua binadamu wenzao..kumpigania mungu asiye weza kujipigania..

Inasikitisha sana.

#MaendeleoHayanaChama

Dini yenu ni ya amani kwani Yesu aliwaambia wengine ndiyo hivyo

 

Ndiyo mkakubali kuolewa Na wachungaji wazungu

 
Ndiyo mkakubali kuolewa Na wachungaji wazungu

View attachment 2149518
Tatizo mpemba wewe ume-panic,maneno niliyokupa hapo juu yamekuchanganya kiasi umeni-quote mara mbili na zote hujajibu hoja zangu kwamba ni nini maana ya uislam?

Mind you,hakuna sehemu wanachomekana nyama kama hapo Zanzibar ni vile wao hawatangazi hadharani tofauti na hao wajinga wenzako uliowaweka hapo so mjadala na wewe uishie hapa huna hoja.
 

Hizo nyama huwa wanachomekana kwenye nyumba Za ibada?
Wewe Una chuki Na wapemba au walikuchomeka nyama ukiwa umelewa?
 
Huwezi kusikia atheist kavunja kanisa

What is funny?

Ni pale wanaosali na kuvunja nyumba za ibada za wenzao ndio wakijinasibu kuwa wana high morals kuliko atheists
Sasa si ni wachache hamna nguvu na mmejificha, sasa kama wewe si ajabu una jina la kizungu ambalo hutafsiriwa ni mkristo na hata kwa watu zako wa karibu wanajua ni mkristo huambii kuwa mimi ni mkana Mungu.
Sasa hapo hata wewe ukienda kuvunja kanisa, kufanya ujambazi n.k nani atajua kuwa ni atheist?
 
Kwa akili zako ndefu unaona nyie huwa hampigi kelele?


Au kwa vile tunawavumilia tu mnaona mko Sawa?
Ila kiukweli huo unaoita uvumilivu ni pale tu ambapo hamjaguswa sehemu zenu ila ukiguswa hakuna uvumilivu.
Huku bara wanaolalamika ubaguzi (mfumo kristo) siku zote ni waislamu ila majibu mnayowajibu ni kuwa hawana elimu wanapenda kulalamika na maneno mengi ya karaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…