Mchungaji amuua mkewe naye kujiua wakati Ibada ikiendelea

Nandivyo walivyo wengi wee huoni hata huku watu badala yakuamini Neno la Mungu na jina la Yesu wanaamini ktk Maji ...mafuta na Chumvi ni upuuzi usio na mfano
Huyo hakuwa mchungaji bali makamata fursa. Inawezekana walitofautiana jinsi ya kutumia sadaka na mafungu ya kumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watoa vibali waliangalie hili........hawa jamaa wana nguvu ya ziada.....kushawishi kondooo wakufuate sio kazi ndogo.....ukiangalia wengi wamezaliwa ktk madhehebu ya Roma, KKKT, Anglikana na Sabato....
 
Kumbukeni matatizo ambayo mwanamke aliyasababisha mpaka jamaa kuchukua maamuzi magumu ni zaidi ya page 16
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…