Mchungaji Anaposema.....

Mchungaji Anaposema.....

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
*Mchungaji anaposema, tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu" alafu kwaya wanasimama wanaimba*

_"Hakuna wa kufanana naye"_

Unashidwa elewa ni jinsi gani KWAYA HAWAPENDI UJINGA
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji100]
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
 
made my day aisee
 
Naomba ufafanue kidogo kwani naona ka ni vitu 2 tofauti wala havihusiani. Yaani una maana hatukuumbwa kwa mfano wake Mungu na kwa sura yake? Au unabisha kuwa Kwaya hawakujua wasemalo waliposema Hakuna wa kumfanana Mungu kwa upendo wake na wema wake?? Wewe waweza toa uhai wako kwa mateso makuubwa kwa ajili ya rafiki yako tu? Rafiki ambaye hata humjui? Yesu aliutoa kwa ajili yako weye. Hivyo hakuna wa kufanana naye. Full stop. Usidhihaki vya imani.
 
Back
Top Bottom