Danielson Minja
New Member
- Mar 20, 2013
- 1
- 0
ndo mana naupenda upasta,lazima waumini wangu niwaombee kwa hisia
Kama movie hivi, au nyie mwaonaje?
wanasema ile camera ilikuwa imetegeshwa bila ya mchungaji kujua.
Nina mashaka kama hiyo kamera ilikuwa imetegeshwa kwa sababu kuna muda position ya kushoot ina badilika, pia mwisho si unaona inamfuata dada anapokuwa anatoka mle ofisini!! Kwa mtizamo wangu hii ni movie...
but nollywood ndo wanaoupload kazi nyingi za wasanii wa nigeria
MmhAnachunga kondoo wake siyo wa Bwana