Mchungaji anaswa akimuogesha mke wa mtu

Kwa kuwa wakitapeliwa hawasikii. Pindi watu watakapochomewa kanisani, kama wafuasi wa Kibwetele ndia wataelewa ulevi na ushabiki wa imani una madhara gani. Tunapoelekea, utasikia mchungaji amemtoa mtoto wa mtu sadaka ya kuteketezwa
 
Omba Mungu asije kuwa mtoto wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…