Mchungaji asema Mbowe ni tapeli hawezi kupigania Katiba Mpya itakayoleta ukomo wa uongozi wakati yeye miaka 20 na hana Mpango wa kuachia Uongozi

Mbangaizaji wa Taifa

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
493
Reaction score
844
Mimi nadhani ingekuwa heri sana kwa Mbowe kuachia nafasi hiyo ya Uongozi ndani ya CHADEMA kabla ya UCHAGUZI.

Ajabu ni kuwa leo CHADEMA mpaka makanisa na Watumishi wa Mungu wameanza kuonesha mashaka na nia zetu,

Tusipuuze haya maonyo ipo siku tutalia na kusaga memo.

IMG_5967.jpeg
 
MBOWE LAZIMA ASHINDE KWA NIA YOYOTE ILE HAWEZI KUSHINDWA CHAMA NI CHAKE WAJUMBE WAKO MIKONONI MWAKE INGEKUWA WANAPIGA KURA WANANCHI INGEKUWA SHIDA LAKIN WAJUMBE? DAAA LISSU AHESABU MAUMIVU
 
S
CCM wanapumua sasa... Kwanini Chadema wanafanya uchaguzi kuelekea uchaguzi mkuu? huu ni wakati wa wao kuvurugana kweli?
Sure ni tatizooo ni hatariii kwa ustawi wa chamaa,Bongo upinzani ni ubabaishaji tu.
 
Mimi nadhani ingekuwa heri sana kwa Mbowe kuachia nafasi hiyo ya Uongozi ndani ya CHADEMA kabla ya UCHAGUZI.

Ajabu ni kuwa leo CHADEMA mpaka makanisa na Watumishi wa Mungu wameanza kuonesha mashaka na nia zetu,

Tusipuuze haya maonyo ipo siku tutalia na kusaga memo.

View attachment 3186331
Endelea kuwaibia hela waumini wako huku ukiwalaghai mambo ya katiba huyajui.

Wanaopigania katiba.mpya hawaipiganii sababu tu ya ukomo wa madaraka kwa sababu hata katiba ya sasa ina ukomo wa madaraka. Watu wanapigania katiba mpya ili kudhubiti mamaka makubwa ya kifalme ya rais aliyonayo katika katiba.

Katiba mpya inapiganiwa ili pia kuweka mgawanyo mzuri zaidi wa madaraka na rasilimali na kulinda makundi yote ya kijamii.

Hadi sasa hatuna katiba mpya na hata serikali ikikubali tuwe na katiba mpya itaamza kuandikwa na nini kitakubaliwa kiwepo au kisiwepo hiyo ni concensus ya jopo la wataalamu watakaopata nafasi ya kushiriki.
 
Endelea kuwaibia hela waumini wako huku ukiwalaghai mambo ya katiba huyajui.

Wanaopigania katiba.mpya hawaipiganii sababu tu ya ukomo wa madaraka kwa sababu hata katiba ya sasa ina ukomo wa madaraka. Watu wanapigania katiba mpya ili kudhubiti mamaka makubwa ya kifalme ya rais aliyonayo katika katiba.

Katiba mpyaxinapigania ili pia kuweka mgawanyo mzuri zaidi wa madaraka na rasilimali na kulinda makundi yote ya kijamii.

Hadi sasa hatuna jatiba mpya na hata serikali ikikubali tuwe na katiba mpya itaamza kuandikwa na nini kitakubaliwa kiwepo au kisiwepo hiyo ni concensus ya jopo la wataalamu watakaopata nafasi ya kushiriki.
Jibu ni hoja yake
 
Mimi nadhani ingekuwa heri sana kwa Mbowe kuachia nafasi hiyo ya Uongozi ndani ya CHADEMA kabla ya UCHAGUZI.

Ajabu ni kuwa leo CHADEMA mpaka makanisa na Watumishi wa Mungu wameanza kuonesha mashaka na nia zetu,

Tusipuuze haya maonyo ipo siku tutalia na kusaga memo.

View attachment 3186331
Demokrasia happy hivyo ya kuachiana sunduku la kura ndio mwamuzi. Maana in a one kana mnakariri ya upande wa kijani.
 
Katiba sio neno la Mungu, mchungaji anavuka mipaka🐼
 
Back
Top Bottom