Mbangaizaji wa Taifa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 493
- 844
Daah ila Mbowe anachakazwa sana naona kama amepoteza kila kituMimi nadhani ingekuwa heri sana kwa Mbowe kuachia Uongozi ndani ya CHADEMA,
Leo CHADEMA mpaka wapakwa mafuta wa Bwana wameanza kuonesha mashaka na nia zenu,
Msipuuze haya maonyo,
View attachment 3186331
Dah jina la 'wapakwa mafuta' halijakaa vizuri kwa kweliMimi nadhani ingekuwa heri sana kwa Mbowe kuachia Uongozi ndani ya CHADEMA,
Leo CHADEMA mpaka wapakwa mafuta wa Bwana wameanza kuonesha mashaka na nia zenu,
Msipuuze haya maonyo,
View attachment 3186331
Wapakwa mafuta wa bwana maliziaDah jina la 'wapakwa mafuta' halijakaa vizuri kwa kweli
Daaah huyu anaitwa nani?Mimi nadhani ingekuwa heri sana kwa Mbowe kuachia Uongozi ndani ya CHADEMA,
Leo CHADEMA mpaka wapakwa mafuta wa Bwana wameanza kuonesha mashaka na nia zenu,
Msipuuze haya maonyo,
View attachment 3186331
Sure ni tatizooo ni hatariii kwa ustawi wa chamaa,Bongo upinzani ni ubabaishaji tu.CCM wanapumua sasa... Kwanini Chadema wanafanya uchaguzi kuelekea uchaguzi mkuu? huu ni wakati wa wao kuvurugana kweli?
Mimi nadhani ingekuwa heri sana kwa Mbowe kuachia Uongozi ndani ya CHADEMA,
Leo CHADEMA mpaka wapakwa mafuta wa Bwana wameanza kuonesha mashaka na nia zenu,
Msipuuze haya maonyo,
View attachment 3186331
Mbona Yuko sahihi kabisa kamandaWachungaji was mchongo
Mch Yuko sahihi kabisaIla maneno ya much ni kweli tupu 🤣🤣🤣
Ni Kweli kabisaMch Yuko sahihi kabisa
Kwani Kuna uongo wowote hapo?Hata kwa wachungaji wapo wasaka tonge
Endelea kuwaibia hela waumini wako huku ukiwalaghai mambo ya katiba huyajui.Mimi nadhani ingekuwa heri sana kwa Mbowe kuachia nafasi hiyo ya Uongozi ndani ya CHADEMA kabla ya UCHAGUZI.
Ajabu ni kuwa leo CHADEMA mpaka makanisa na Watumishi wa Mungu wameanza kuonesha mashaka na nia zetu,
Tusipuuze haya maonyo ipo siku tutalia na kusaga memo.
View attachment 3186331
Jibu ni hoja yakeEndelea kuwaibia hela waumini wako huku ukiwalaghai mambo ya katiba huyajui.
Wanaopigania katiba.mpya hawaipiganii sababu tu ya ukomo wa madaraka kwa sababu hata katiba ya sasa ina ukomo wa madaraka. Watu wanapigania katiba mpya ili kudhubiti mamaka makubwa ya kifalme ya rais aliyonayo katika katiba.
Katiba mpyaxinapigania ili pia kuweka mgawanyo mzuri zaidi wa madaraka na rasilimali na kulinda makundi yote ya kijamii.
Hadi sasa hatuna jatiba mpya na hata serikali ikikubali tuwe na katiba mpya itaamza kuandikwa na nini kitakubaliwa kiwepo au kisiwepo hiyo ni concensus ya jopo la wataalamu watakaopata nafasi ya kushiriki.
Demokrasia happy hivyo ya kuachiana sunduku la kura ndio mwamuzi. Maana in a one kana mnakariri ya upande wa kijani.Mimi nadhani ingekuwa heri sana kwa Mbowe kuachia nafasi hiyo ya Uongozi ndani ya CHADEMA kabla ya UCHAGUZI.
Ajabu ni kuwa leo CHADEMA mpaka makanisa na Watumishi wa Mungu wameanza kuonesha mashaka na nia zetu,
Tusipuuze haya maonyo ipo siku tutalia na kusaga memo.
View attachment 3186331