Soma nilichoandika kwa kutulia mbona nimeijibu vizuriJibu ni hoja yake
Si hataki kuachia wengine spana zina mhusuDaah ila Mbowe anachakazwa sana naona kama amepoteza kila kitu
Halafu eti anataka kuing'oa CCM, hahahaa, wakati chama cha chadema, (chama chake), hakijafanya zoezi la kumng'oa yeyeMimi nadhani ingekuwa heri sana kwa Mbowe kuachia nafasi hiyo ya Uongozi ndani ya CHADEMA kabla ya UCHAGUZI.
Ajabu ni kuwa leo CHADEMA mpaka makanisa na Watumishi wa Mungu wameanza kuonesha mashaka na nia zetu,
Tusipuuze haya maonyo ipo siku tutalia na kusaga memo.
View attachment 3186331
Yeye kasema hivi"
Unapiganiaje kitu ambacho wewe hukiishi,mfano Nyerere alipingana na rushwa lakini yeye mwenyewe alikuwa mtiifu Na.1 kwa kutokula rushwa.Endelea kuwaibia hela waumini wako huku ukiwalaghai mambo ya katiba huyajui.
Wanaopigania katiba.mpya hawaipiganii sababu tu ya ukomo wa madaraka kwa sababu hata katiba ya sasa ina ukomo wa madaraka. Watu wanapigania katiba mpya ili kudhubiti mamaka makubwa ya kifalme ya rais aliyonayo katika katiba.
Katiba mpya inapiganiwa ili pia kuweka mgawanyo mzuri zaidi wa madaraka na rasilimali na kulinda makundi yote ya kijamii.
Hadi sasa hatuna katiba mpya na hata serikali ikikubali tuwe na katiba mpya itaamza kuandikwa na nini kitakubaliwa kiwepo au kisiwepo hiyo ni concensus ya jopo la wataalamu watakaopata nafasi ya kushiriki.
Ila ndio hivyo ni ngumu kukubaliIla maneno ya much ni kweli tupu 🤣🤣🤣
Huyu Mch ni balaaMimi nadhani ingekuwa heri sana kwa Mbowe kuachia nafasi hiyo ya Uongozi ndani ya CHADEMA kabla ya UCHAGUZI.
Ajabu ni kuwa leo CHADEMA mpaka makanisa na Watumishi wa Mungu wameanza kuonesha mashaka na nia zetu,
Tusipuuze haya maonyo ipo siku tutalia na kusaga memo.
View attachment 3186331
KUNAANZA KUKUCHAMimi nadhani ingekuwa heri sana kwa Mbowe kuachia nafasi hiyo ya Uongozi ndani ya CHADEMA kabla ya UCHAGUZI.
Ajabu ni kuwa leo CHADEMA mpaka makanisa na Watumishi wa Mungu wameanza kuonesha mashaka na nia zetu,
Tusipuuze haya maonyo ipo siku tutalia na kusaga memo.
View attachment 3186331
Huu ujumbe uwafikie wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA ili wajue gharama ya kumrudisha Mbowe madarakani. CCM hawa hawa wanaomtetea Mbowe leo hii, ndio wataanza kukikashifu CHADEMA ya Mbowe. Huyu mchungaji kaanza kutuonyesha mapema ni nini itakuwa gharama ya kumchagua tena Mbowe.Wachungaji was mchongo
Tatizo siyo chadema kufanya uchaguzi, bali tatizo ni Mbowe kung'ang'ania uenyekiti. Miaka 20 hataki kutoka.Kwanini Chadema wanafanya uchaguzi kuelekea uchaguzi mkuu? huu ni wakati wa wao kuvurugana kweli?
Uwe unasoma na kuelewa..Adv.Fatma Karume amesema UONGO.
..Ccm hawana ukomo wa madaraka ktk katiba ya chama chao.
..kwa kumbukumbu za haraka chama chenye katiba yenye ukomo wa madaraka ni ACT-wazalendo.
Mimi nadhani ingekuwa heri sana kwa Mbowe kuachia nafasi hiyo ya Uongozi ndani ya CHADEMA kabla ya UCHAGUZI.
Ajabu ni kuwa leo CHADEMA mpaka makanisa na Watumishi wa Mungu wameanza kuonesha mashaka na nia zetu,
Tusipuuze haya maonyo ipo siku tutalia na kusaga memo.
View attachment 3186331
Tatizo siyo chadema kufanya uchaguzi, bali tatizo ni Mbowe kung'ang'ania uenyekiti. Miaka 20 hataki kutoka.
2021 aliahidi kwamba 2023 kung"atuka lkn sasa kabadilika.
Anadai chadema ni mali yake, maana Ametumia hela yake kuijenga chadema. Rubbish!!
Mbowe ni tapeli mkubwa sanaMimi nadhani ingekuwa heri sana kwa Mbowe kuachia nafasi hiyo ya Uongozi ndani ya CHADEMA kabla ya UCHAGUZI.
Ajabu ni kuwa leo CHADEMA mpaka makanisa na Watumishi wa Mungu wameanza kuonesha mashaka na nia zetu,
Tusipuuze haya maonyo ipo siku tutalia na kusaga memo.
View attachment 3186331
Na bado hadi akili zimkae sawaSi hataki kuachia wengine spana zina mhusu
Yaani nikikumbuka akina Soka, Ali Kibao roho inaniuma sana.Endelea kuwaibia hela waumini wako huku ukiwalaghai mambo ya katiba huyajui.