Elections 2010 Mchungaji Christopher Mtikila

Elections 2010 Mchungaji Christopher Mtikila

Kivumah

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Posts
2,427
Reaction score
1,054
Wakuu mwenye CV/ maelezo ya kina kumhusu huyu Mchungaji aiweke jamvini tumfahamu huyu Mheshimiwa. Binafsi nimeshindwa kumuelewa/kumsoma ni Mwanasiasa wa aina gani
 
Wakuu mwenye CV/ maelezo ya kina kumhusu huyu Mchungaji aiweke jamvini tumfahamu huyu Mheshimiwa. Binafsi nimeshindwa kumuelewa/kumsoma ni Mwanasiasa wa aina gani
unadhani cv ndiyo itakusaidia kuelewa ni mwanasiasa wa namna gani,
maana cv inaweza kukueleza jinsi alivyokuwa ni mtu wa kwenda jela na kutoka,
ama mtu aliyewahi kuwa na kesi nyingi pengine kuliko raia yeyote wa tanzania,
hivyo bado hutapa majibu ya unachokitafuta, hivyo mwelewe kama alivyo
 
nimwelewavyo mchungaji....NI MTU MAKINI SANA.....ambaye mwanzo wa jambo huwezi mwelewa isipokuwa mwishoni mwa jambo huobuka shujaa.........HAKURUPUKI OVYO....bali hujipanga na kuja na NGUVU YA HOJA.........hoja ambazo WANAZUONI HASA WA SHERIA HUBIDI WAITANE KAMA KAMATI KUJADILI....!
need more?????
 
Mtikila?
Ile pombe ndani ya chupa iitwayo SAFARI, ukiinywa(hasa ile ya zamani). utaongea ovyo mpaka uwekwe ndani.
In person, SAA ya UKOMBOZI ni SASA, is a jack of all "political trades", and mind you ni Reverend.
 
you said it GWAKISA.....hapo kitambo ikafananishwa na pbia ya safari........maana huongea kama "JOHNNY WALKER &MKOLONI" yaani WAGOSI WAKAYA...........LAFUDHI YA KILEVI LAKINI YAONGEWAYO NI POINT
 
Thanx. nilitamani nijue pia Elimu yake, mind u ni mgombea Urais
 
Back
Top Bottom