Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Mtumishi wa Mungu Clear Malissa ametangaza kufanya maombi makubwa katika Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam, yatakayohudhuriwa na waumini wa dini zote nchini.
Maombi hayo yanalenga kuiombea amani Tanzania, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea chaguzi, ambazo mara nyingi huambatana na changamoto mbalimbali.
Soma pia: Wasanii wa Injili wakiongozwa na Mwamposa wajipanga kukutana Mlimani City kumuombea Rais Samia!