Hilo nalo nenoDivision ZERO ina CHETI?
Division ZERO ina CHETI?
Pasco mayala sasa anaongozwa na njaa kaamua kujitoa fahamu kama Steven Nyerere tu.
Mkuu hata mimi hapo anaposema Daud Bashite alipiga mzinga (zero) halafu anasema anacho cheti cha Daud Bashite imenistua.Wanabodi,
Manabii wa Uongo na Tutawatambuaje?.
Kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo, tunayemwamini Bwana wetu Yesu Kristo, kabla hajapaa mbinguni, alituhusia kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza, "Jee tutawatambuaje?", Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao".
Mchungaji Dr. Josephat Gwajima ni Nabii wa Kweli au Nabii wa Uongo?.
Hii ni thread ya swali kumhusu Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo wa Uzima, Mchungaji, Dr. Josephat Gwajima, Jee ni Mtumishi wa Mungu wa Kweli?!, ni Nabii wa kweli au ndio wale manabii wa uonga aliowazungumza Bwana wetu Yesu Kristo?. Akiwa katika mimbari, madhabahuni, mbele ya Mungu na kondoo wake, badala ya kuihubiri Injili na neno la Mungu tuu, lenye kujenga upendo, amani na mshikamano miongoni mwa jamii, yeye anahubiri siasa kwenye nyumba ya ibada, tena mahubiri juu ya chuki dhidi ya binadamu mwingine hadi kumuita "kiumbe".Japo ni kweli Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda alimdhalilisha Mchungaji Gwajima kwa kumtaja kujihusisha na madawa ya kulevya, jee namna ambayo Mchungaji Gwajima, anavyomzungumzia Mkuu wetu wa Mkoa, ndivyo Bwana Yesu alivyofundisha namna ya kuwashughulikia wale walio tuudhi?.
Jee Maneno na Matendo ya Mchungaji Gwajima ni Kama Yesu, ni ya KiMungu?.
Swali ni jee huu ndio utendaji wa watu wa Mungu, kuwatakia wenzao mabaya?, kuwazushia uongo mchana kweupe tena madhabahuni kwenye mimbari ya Mungu?!. Huyu ni mchungaji wa Mungu au mungu. Hili la kudai anavyo vyeti vya Daudi Bashite na Paul Christian, Jee hii inaweza kuwa kweli?!. Nijuavyo mimi, mtu ulikuwa ukipata Div. 0 hupewi cheti chochote na NECTA zaidi ya Leaving Certificate, sasa hicho cheti cha Daudi Bashite alichonacho Mchungaji Gwajima, kimetoka wapi?. Gwajima kama mtu wa Mungu wa kweli, anaweza kweli kusema uwongo madhabahuni, jee huyu ni mchungaji wa kweli anayemtumikia Mungu, au ndio hawa wachungaji wanaomtumikia mungu?!.
Jumatatu Njema.
Paskali
Ukitaka "documents" zake nenda kwenye ofisi zenye mamlaka ya uteuzi wake. Kwani haingii akilini, Mwenyekiti wa Kamati ya Mkoa ya Ulinzi na Usalama awe na tuhuma kama zilivyotolewa na Mchungaji Gwajima.Sioni sababu ya wewe kutoka jasho kuandika utetezi huu wakati mhusika mwenyewe yupo! Mh. Aajitokeze aweke documents zake chini tuanze episode nyingine.
Pascal mayala, wewe pia shukuru Mungu ile kashfa ya upunga kwa yule kigogo wa atcl imeisha, pamoja na kwamba bado ipo vichwani mwa watu. bora unyamaze, watu watakuja na cd yako hapa...kumbuka ulivyopambana watu wakaanika hadi maisha ya siri ya familia yako. vilevile, mshukuru Mungu ulipata ajali na roho ilipona..usimtetee tu mtu kwasababu ni msukuma mwenzio. nakushauri kaa kimya au la watu watafukua makaburi yako hapa utahama hata nchi. tunza heshima yako na ya watoto wako.Wanabodi,
Manabii wa Uongo na Tutawatambuaje?.
Kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo, tunayemwamini Bwana wetu Yesu Kristo, kabla hajapaa mbinguni, alituhusia kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza, "Jee tutawatambuaje?", Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao".
Mchungaji Dr. Josephat Gwajima ni Nabii wa Kweli au Nabii wa Uongo?.
Hii ni thread ya swali kumhusu Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo wa Uzima, Mchungaji, Dr. Josephat Gwajima, Jee ni Mtumishi wa Mungu wa Kweli?!, ni Nabii wa kweli au ndio wale manabii wa uonga aliowazungumza Bwana wetu Yesu Kristo?. Akiwa katika mimbari, madhabahuni, mbele ya Mungu na kondoo wake, badala ya kuihubiri Injili na neno la Mungu tuu, lenye kujenga upendo, amani na mshikamano miongoni mwa jamii, yeye anahubiri siasa kwenye nyumba ya ibada, tena mahubiri juu ya chuki dhidi ya binadamu mwingine hadi kumuita "kiumbe".Japo ni kweli Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda alimdhalilisha Mchungaji Gwajima kwa kumtaja kujihusisha na madawa ya kulevya, jee namna ambayo Mchungaji Gwajima, anavyomzungumzia Mkuu wetu wa Mkoa, ndivyo Bwana Yesu alivyofundisha namna ya kuwashughulikia wale walio tuudhi?.
Jee Maneno na Matendo ya Mchungaji Gwajima ni Kama Yesu, ni ya KiMungu?.
Swali ni jee huu ndio utendaji wa watu wa Mungu, kuwatakia wenzao mabaya?, kuwazushia uongo mchana kweupe tena madhabahuni kwenye mimbari ya Mungu?!. Yesu alitufundisha, "tumpe Kaisari yaliyo ya Kaisari, na tumpe Mungu yaliyo ya KiMungu, kwanini Mchungaji Gwajima, analeta ya Kaisari mezani kwa Bwana?!. Jee huyu Mchungaji Gwajima, ni mchungaji wa Mungu au ni wa mungu?. Mchungaji Gwajima kama mtu wa Mungu wa kweli, anaweza kweli kusema uwongo kama ule madhabahuni kwa Bwana?!. Jee huyu ni mchungaji wa kweli anayemtumikia Mungu wa kweli, au ndio wale wachungaji aliyewasema Bwana wetu Yesu Kristo kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza, "Jee tutawatambuaje?", Bwana Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao".
Jee kwa matendo kama haya, kuna kitu chochote cha kutambua?.
Mchungaji Gwajima ni Nabii wa Mungu, au wa mungu?.
Jumatatu Njema.
Paskali
hivi kwaakili ya kawaida, unafikiri siku hizi watu unawabomoa halafu wanageuza upande wa pili wa shavu upige? alichofanya gwajima, yeye baada ya kuchafuliwa, na ujue hapo amechafua sio kanisa la gwajima tu, amechafua ulokole wote kwamba wachungaji wa kilokole ambako wengi tupo wanauza madawa ya kulevya....ulitegemea gwajima atulie tu? ninyi ndio maana mmezoea kuwaonea walokole ninyi. siku hizi hawaonewi tena, ukija kwao kama hauna vyeti halali watatangaza tu. hapohapo haujui linaloendelea sirini, inawezekana wanawindana chini kwa chini. kumweka gwajima ndani ati ana unga halafu unampima unaona hana kitu, ni fedheha sana. amesitisha mikutano mingi nje ya nchi na haaminiwi tena kwa kitu ambacho kimethibitishwa sio cha kweli, hapo lazima afanye kitu kusababisha makonda amwombe msamaha. asipofanya hivyo hakika namwomba gwajima aweke vyeti vyake hapa tuvione.mbona rahisi tu?Mkuu hata mimi hapo anaposema Daud Bashite alipiga mzinga (zero) halafu anasema anacho cheti cha Daud Bashite imenistua.
Ila yote kwa yote jambo hili sasa limekuwa ni ZITO sana, tunatamani waziri mkuu amuagize waziri wake wa elimu alifanyie uchunguzi wa kina ili tujue nani mkweli na nani muongo,manake wanatuwea wananchi kwenye sintofahamu kubwa.
Mimi binafsi Gwajima ni mchungaji wangu na ninamuamini sana,lakini pia Mh.Makonda ni mkuu wangu wa mkoa na nina imani nae sana,lakini imefika mahali sasa natamani kujua kati ya watu hawa wawili yupi mkweli kwenye hili sakata,kama mchungaji ni muongo basi achukuliwe hatua kali kwa kutupotosha kondoo wa bwana kupitia madhabahu tukatatifu,lakini pia kama mchungaji anasema kweli basi taratibu sahihi zifuate mkondo,na mwenye uwezo wa kulifungua hili pasina chembe ya shaka ni waziri wa elimu mheshimiwa Ndalichako,vinginevyo kama hili halina ukweli hatujui kesho nani atanyanyuka tena kumzushia nani au kama lina ukweli hatujui kesho nani atanyanyuka na vyeti feki tena na kupenya mpaka kwenye nafasi nyeti zaidi ya hiyo na ni athari gani iatokea kwa taifa.
Waumini wa Kanisa la Gwajima, wamefungwa kwa limbwata, nao ufalme wa Mungu ni tofauti na Ufalme wa Mungu ambao dini zingine zinaamini. Maana kwenye ufalme wa Mungu watapokelewa wenye upendo, na nguzo kuu ya upendo ni kusamehe hata x70 ya 70.Tuacheni utani waumini wa huyu bwana wana mahaba ambayo siyo ya Dunia hii.
Yani wamekufa wameoza.
Tatizo lenu mmewazoea wachungaji wanaokilamba miguu chama chenu na serikali yenu.Kwa taarifa yako Gwajima hatakagi unafiki na huwa mkweli siku zoteWanabodi,
Manabii wa Uongo na Tutawatambuaje?.
Kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo, tunayemwamini Bwana wetu Yesu Kristo, kabla hajapaa mbinguni, alituhusia kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza, "Jee tutawatambuaje?", Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao".
Mchungaji Dr. Josephat Gwajima ni Nabii wa Kweli au Nabii wa Uongo?.
Hii ni thread ya swali kumhusu Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo wa Uzima, Mchungaji, Dr. Josephat Gwajima, Jee ni Mtumishi wa Mungu wa Kweli?!, ni Nabii wa kweli au ndio wale manabii wa uonga aliowazungumza Bwana wetu Yesu Kristo?. Akiwa katika mimbari, madhabahuni, mbele ya Mungu na kondoo wake, badala ya kuihubiri Injili na neno la Mungu tuu, lenye kujenga upendo, amani na mshikamano miongoni mwa jamii, yeye anahubiri siasa kwenye nyumba ya ibada, tena mahubiri juu ya chuki dhidi ya binadamu mwingine hadi kumuita "kiumbe".Japo ni kweli Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda alimdhalilisha Mchungaji Gwajima kwa kumtaja kujihusisha na madawa ya kulevya, jee namna ambayo Mchungaji Gwajima, anavyomzungumzia Mkuu wetu wa Mkoa, ndivyo Bwana Yesu alivyofundisha namna ya kuwashughulikia wale walio tuudhi?.
Jee Maneno na Matendo ya Mchungaji Gwajima ni Kama Yesu, ni ya KiMungu?.
Swali ni jee huu ndio utendaji wa watu wa Mungu, kuwatakia wenzao mabaya?, kuwazushia uongo mchana kweupe tena madhabahuni kwenye mimbari ya Mungu?!. Yesu alitufundisha, "tumpe Kaisari yaliyo ya Kaisari, na tumpe Mungu yaliyo ya KiMungu, kwanini Mchungaji Gwajima, analeta ya Kaisari mezani kwa Bwana?!. Jee huyu Mchungaji Gwajima, ni mchungaji wa Mungu au ni wa mungu?. Mchungaji Gwajima kama mtu wa Mungu wa kweli, anaweza kweli kusema uwongo kama ule madhabahuni kwa Bwana?!. Jee huyu ni mchungaji wa kweli anayemtumikia Mungu wa kweli, au ndio wale wachungaji aliyewasema Bwana wetu Yesu Kristo kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza, "Jee tutawatambuaje?", Bwana Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao".
Jee kwa matendo kama haya, kuna kitu chochote cha kutambua?.
Mchungaji Gwajima ni Nabii wa Mungu, au wa mungu?.
Jumatatu Njema.
Paskali
Kashfa ya upunga tena makubwa madogo yana nafuu, nashangaa watu kumtetea daudi bashite wakati ni jina lake kabisa na alikuwa kilazer kabisa ayasemayo gwajima ni kweli hii issue ya Daudi Albert classmate wake ka confess. Magufuli anaona kigugumizi kumtumbua Daudi kwa vile ni msukuma mweziwe raisi angejua huyu makonda anavomharibia image kwa jamii, angemtoa tu ka vile alivomtumbua kabwe Mpaka akafa, naona sasa wateule wake wanavo mharibia image yake, na hii tribalism ni janga kwa Africa.Pascal mayala, wewe pia shukuru Mungu ile kashfa ya upunga kwa yule kigogo wa atcl imeisha, pamoja na kwamba bado ipo vichwani mwa watu. bora unyamaze, watu watakuja na cd yako hapa...kumbuka ulivyopambana watu wakaanika hadi maisha ya siri ya familia yako. vilevile, mshukuru Mungu ulipata ajali na roho ilipona..usimtetee tu mtu kwasababu ni msukuma mwenzio. nakushauri kaa kimya au la watu watafukua makaburi yako hapa utahama hata nchi. tunza heshima yako na ya watoto wako.
alikuwa na kashfa ya upunga hapa amehangaika nayo miaka kadhaa, watu wameisahau, ila wakiamua kuikumbusha atakimbia kijiwe. na hadi leo hatuamini kama alisingiziwa au la. mwache alete zake watu walete ushahidi hapa. manake mtu unasingiziwa upunga, na hapohapo mke amekukimbia kimyakimya...ukibisha kwamba sio punga utaeleweka kweli?Kashfa ya upunga tena makubwa madogo yana nafuu, nashangaa watu kumtetea daudi bashite wakati ni jina lake kabisa na alikuwa kilazer kabisa ayasemayo gwajima ni kweli hii issue ya Daudi Albert classmate wake ka confess. Magufuli anaona kigugumizi kumtumbua Daudi kwa vile ni msukuma mweziwe raisi angejua huyu makonda anavomharibia image kwa jamii, angemtoa tu ka vile alivomtumbua kabwe Mpaka akafa, naona sasa wateule wake wanavo mharibia image yake, na hii tribalism ni janga kwa Africa.
Hili ni jibu la kiimani sana bahati mbaya siko vizuri katika idara hiyoNyuma ya mchungaji Gwajima yupo mungu Aliye hai anayependa ukweli na kuuchukia uongo
mtu akija kwako kukupiga, kimbia, ukiona anaendelea kukufuata wakati bado unaendelea kumwomba Mungu na wewe unatakiwa kumrushia hata majivu tu ili apunguzwe nguvu. ndicho kinachofanyika.mimi kwa ufupi ni mkristo.kwa hatua ya viongozi wa dini tena ya kikristo mambo wanayo ingilia naona wanatoka kwenye mada zao wanazo fanya.ingekuwa kwa waisilamu nazani sasa kama gajwima ndio muislamu.tusinge shabikia
wivuGwajima ni mwanamikakati tu. Nchi hii ina wachungaji wengi Sana kwa nini gwajima ana trend sana mitandaoni peke yake tu ?
Rudi tena usome nilichoandika mkuu labda hujanielewa,nisichomuelewa mchungaji wangu ni pale anaposema ana cheti cha Daud Bashite ofisini wakati huo huo anasema Daud Bashite alipata zero,labda nikuulize wewe sasa kwamba umewahi kuona cheti cha form four chenye division zero?kilitolewa na mamlaka gani?au labda hujui kuwa division zero huwa hapati cheti?Nia yangu sio kumgandamiza Gwajima na ndiyo mana nikaanza kwa kudeclare interest kwamba huyu ni mchungaji wangu na ninaqmuamini,lakini pia nikadeclare interest upande wa pili kwamba Makonda nae ni mkuu wangu wa mkoa ninaemuamini kwa hiyo kiu yangu ni kutaka kujua kiuhakika yupi mkweli...wote hawa nawaheshimu ila nitaqsita kumuheshimu yule ntakaebaini kuwa si mkweli.hivi kwaakili ya kawaida, unafikiri siku hizi watu unawabomoa halafu wanageuza upande wa pili wa shavu upige? alichofanya gwajima, yeye baada ya kuchafuliwa, na ujue hapo amechafua sio kanisa la gwajima tu, amechafua ulokole wote kwamba wachungaji wa kilokole ambako wengi tupo wanauza madawa ya kulevya....ulitegemea gwajima atulie tu? ninyi ndio maana mmezoea kuwaonea walokole ninyi. siku hizi hawaonewi tena, ukija kwao kama hauna vyeti halali watatangaza tu. hapohapo haujui linaloendelea sirini, inawezekana wanawindana chini kwa chini. kumweka gwajima ndani ati ana unga halafu unampima unaona hana kitu, ni fedheha sana. amesitisha mikutano mingi nje ya nchi na haaminiwi tena kwa kitu ambacho kimethibitishwa sio cha kweli, hapo lazima afanye kitu kusababisha makonda amwombe msamaha. asipofanya hivyo hakika namwomba gwajima aweke vyeti vyake hapa tuvione.mbona rahisi tu?
Unapata cheti!Ukienda necta unakuta zero ipo una print