Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais


Wewe huyo ni mtu w juu sn kwko siyo kiwngo chko. Uwongo ni upi? Ni kweli yuko juu kuliko huyuo. Uwongo ni upi? Hujui?
 
Kahubiri ukweli, kama kasema alitumia vyeti feki afu kama ni kweli alivitumia, je atakuwa kakosea wapi? Kufichua uovu wa mtu na kuuweka hadharani nako ni kosa?

Alietuhumiwa kula dawa za kulevya mwisho wa siku alionekana inocent baada ya maabara kutoa majibu.

Sasa mtuhumiwa wa vyeti nae ajitokeze kupinga tuhuma zinazoelekezwa dhidi yake. Kimya maana yake ni kweli.
 
Aisee makubwa scandal ya upunga kwa mwanaume wa kitanzania ni mbaya sana bora kutokufukua makaburi, ila mtu akileta mambo ya Daudi Bashite hamna namna aisee.
 
Gwajima ni Mkristo na sio Mkristu mkuu
 
Nani kakwambia sio ya Kikristo hata Yesu alipowatuma wanafunzi kwenye miji aliwaambia mkifika mji usio wakaribisha kung'uteni mavumbi yenu, sasa wewe unataka gwajima anyamaze achafuliwe, Gwajima naye ni binadamu, sio Yesu au Mungu maana ana feel pain, pia Gwajima ka mtumishi kasema ukweli wa udaganyifu wa Bashite.
 
YANI UMAJITAHIDI KABISA SIJUI KWA KUSUDI GANI KUTETEA VITU USIVYOKUWA NA USHAHIDI NAVYO. KAMA GWAJIMA ANASEMA UONGO WAKAMSHTAKI. HAYO YA UNABII WA UONGO MI HAYANIHUSU MAANA SIJAAMBIWA NIMEAMBIWA NISIHUKUMU.
Kuambiwa usihukumu isiwe kichaka cha kujifichia.Biblia hiyo hiyo imetuambia tutumie Akili kama ipasavyo.
 
Nilikua sijui, kumbe na wewe Paskali ni bonge la mshamba kiasi hiki!
Hebu nitajie watu watatu ambao wanatajwa kua kwenye madaraja ya huruma ya Mungu kwenye bibilia. Kuna Rais katajwa hapo? Kuna vitu vingine uwe unajiridhisha mwenyewe kabla hujaleta humu.
 
Kama alichosema Mchungaji Gwajjma juu ya Daud si cha kweli, si Daud akanushe !!! Ajitokeze Afanye fyokofyoko!!!
 
Mch. Gwajima ametoa tuhuma nzito, na anasema kuwa anamfahamu Bashite toka kijijini walikotoka. Maelezo yake yanaweza kuwa ya kweli sana, ila kwa upande mwingine Elimu ya kiongozi wa umma haiwezi kuwa suala la siri. Nanamwomba RC atutoe mashaka kuhusu hili linalosemwa.
 
 
Nimesikia Mch Gwajima anasema ukienda NECTA kuomba cheti cha MTU unapewa.

Hivi ndivyo ilivyo pale NECTA kwamba wanagawa vyetu vya watu?
 
Kwanza nampongeza RC makonda kwa kazi Nzuri aifanyayo.pili mchungaji utampangia vp rais amfute kazi RC kazi.nilifikiri Kama mtumishi wa mungu asingeonyesha hasira angempongeza RC ingekuwa katoa Mfano mzuri sana.angemsamehe akakaa kimya angeonekana Ana subira.angewaasa waumini wasijihusishe na madhambi Kama hayo kinyume chake baadhi ya watu watafikiri Kanisa lake linasapoti biashara hiyo haramu.ktk ukristo hakuna mizani ya kumpima mtu?kosa moja la makonda mazuri mangapi kafanya?huyu Bwana
 
Wachawi na wenye mapepo utawajua tu...ikipigwa tu Injili kidogo wao huanza kuhangaika; kimsingi hata Wayahudi hawakumwelewa Yesu ndo wakashtaki kwa Pilato Yesu apate kusulubiwa na kuuawa, they had their wish granted!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…