Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Hiyo kauli yako Unamuabisha Mungu sio sahihi Mwanadamu hawezi akamuabisha Mungu zaid ataaibika yy mwenyewe kwani yy akifanya Maovu Je jambo hili linafanya watu wasimuabudu Mola wao au Kitu hiki kinampunguzia nn Mungu ?
 
Wewe ndiye unamkosea Mungu kwa kumuita jina la ajabu.
 
Na anavyoshangiliwa na watu wa mataifa anajiona kamaliza kilakitu,!.
 
Kama ni mungu haina shida anapaswa kudhalilishwa tu kwani Mungu pekee ndiye astahiliye heshima
 
Ni kosa kusema ukweli, yeye ni binadamu sio Mungu,bora aweke wazi ili kuwakomesha waonevu wasijetuonea wanyonge.
 
GWAJIMA SI MKRISTO KUWA SAFI

katika vitabu vyote vya kikristo ambavyo vimeandika kuwa unapotoa majini kwa mgonjwa sharti uyatume kwa binadamu mwenzako hakuna hicho kitu
Hakuna hata sehemu moja ya maandiko yanayosema hivyo nadhani huyu anajua anatumia nguvu za namna gani nadhani amezitoa kule Nigeria

Hata Yesu Kristo alipokuwa anayatoa majini aliyaamuru kwenda kuwaingilia nguruwe na sio binadamu wengine
Tumeona alichofanya Gwajima nikiwa kama mkatoriki safi nampinga hadharani kwa alichofanya

Hakuna ukristo unaofundisha huo upumbavu nina imani pia hata katika uislamu hakuna mafundisho ya namna hii
Hakuna nabii wa namna hii na hawa ndio wale manabii ambao Yesu Kristo alisema watakuja
Na nabii wa mwisho kuja hapa duniani ni Yesu Kristo hawa wengine wote ni waganga njaa tu wameamua kugeuza dini kuwa biashara

Niliwahi kuhoji uko nyuma kuwa hivi Mungu wa Gwajima ni yupi? Ni huyu huyu Mungu wa Isaka na Yakobo? Ndio huyu huyu tunaemuomba sisi kila siku?
Nadhani sasa watu wamejua rangi halisi ya huyu anayejiita askofu
Hakuna askofu wa namna hii ambaye anaamuru majini yaende kwa mtu mwingine kisa tu wana ugomvi wao binafsi
Huyu si askofu huyu ni Mganga wa Kienyeji na kumuita Gwajima askofu ni kuwatukana maaskofu wote

Ni wakati sasa wa serikali kuyachunguza haya makanisa
Wengine wana vibali vya kutoa huduma lakini ni waganga wa kienyeji, Huyu Gwajima ni mganga wa kienyeji au ni mchawi
Nikiwa kama mkristo safi nalaani kitendo alichofanya huyu askofu feki

Ndimi
Raphael lukindo
0765499321
 
Kutoa pepo kwa mtu sio kazi,kazi ukimtoa anenda wapi ili kesho asirudi au kutesa tena viumbe wema
 
Ukristo wake atajua mwenyewe..

Kughushi vyeti ni aina ya ufisadi wa elimu.. Haukubaliki!
 
Mtumishi wa mvngu bishop gwajima, salaam, na pole kwa kaz uifanyayo najua hustahil pole kwa kaz hiyo maana ni mungu kakutuma ila kwangu mm naomba nikupe pole.
Nina swali kwako mtumish, unapolichukua swala la makonda na kulifanya ajenda kuu ndani ya mahubir yako lengo lake ni nn?
Mh. Unachukua muda mwing kumsif rais na kumponda makonda maana yake ni nn?
Huna haja ya kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa rais. Rais anajua cha kufanya juu ya makonda huna haja ya kunfundusha kaz rais, kama kusikia kaskia sana, ikija tokea rais asfanye kama upendavyo nn utafanya ?
Kama makonda kakukisea kazi yako ni kumuombea, na kusamehe,.
 
Lengo ni kumkomesha BASHITE akome kujifanya mjuaji[emoji196] [emoji216] [emoji83]
 
Ukweli mchungu pengine gwajima Anajihusisha kwel na maswala ya ngada. Ila kayazua mengine ili kutaka kujisafisha na watu wajinga kubadilisha topic na kafanikiwa kiukwel kubadilisha topic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…