Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Safi sana wengine wanaendeshwa hap na mihemko Bashite kuhusu kutumbuliwa lazima hilo hakuna mjadala bunge silinakuja hawawezi kumuacha hata inyeshe au jua liwake ila tukirudi kwenye ukristo cc haturuhusiwi kulipiza maan hat adui yk unaambiwa mbariki na tena hurusiwi jua lizame hujapatana na adui yako .Maan tunapoomba tunasema nisamehe kama navyowasamehe walionikosea na usiposamehe hutosamehewa je kweli ww baba wa imani husamehi je hao kondoo utaeafundisha nn?.
 
Askofu anasema yeye anaweza kumzalisha mtu yoyote, kama hilo hiamini pia kapange foleni
 
kwa sababu alisema tusihukumu tusijetukahukumiwa ni bora kujitoa kwenye hilo.. halafu sijaona sehemu Mungu akiomba msaada kwenye bible mkuu
mkuu, Mungu hajaomba msaada kweli lakini, ametuumba sisi kwa mfano wake...hivyo chochote tutakachofanya ni kutokana na matakwa ya Mungu..
 
mkuu, Mungu hajaomba msaada kweli lakini, ametuumba sisi kwa mfano wake...hivyo chochote tutakachofanya ni kutokana na matakwa ya Mungu..
haya turudi kwenye swala la gwajima unadhani Mungu anashindwa mnyamazisha gwajima ?
me naamini kila jambo Mungu analiachilia kwa makusudi maalumu
 
Ni mapungufu tu ya kibinadamu. Kama kiongozi wa imani kama yeye hapaswi kufanya haya anayoyafanya.

Kama nilivyosema ni mapungufu tu ya kibinadamu. Ni kuzidi kumwombea kutoka katika hilo shimo.
 
Makanisa misikiti IPO mingi.
USIENDE KWA GWAJIMA
 
Bt he go against God! Mtumish wa Mungu hapaswi kuwa ivo
AWE WA MUNGU AMA WA SHETANI ANAJUA MWENYEWE ILA HAYA YANAYOENDELEA HATA HUYU MTUMISHI WA UMMA HAFAI

KUVAMIA STUDIO NA MITUTU KAMA KINA IDD AMINI ILI KUMCHAFUA GWAJIMA NDO NINI?
 

Kazi mojawapo ya mtumishi wa Mungu ni KUKEMEA MAOVU 'it is within the scope of work' kwa sababu akimuona muovu anangamia na yeye akamuacha basi damu ya muovu itadaiwa mikononi mwake siku ya kiama. Hivyo, Gwajima hatakiwi kukaa kimya pale watu wanapokuwa wamechakachua mambo na hawezi kusema nje ya kanisa lake coz nae watamfanya kitu mbaya roho inapenda.
So tuliza kipago wacha kuchonga ngenga.... Gwajima yuko gado.
 
haya turudi kwenye swala la gwajima unadhani Mungu anashindwa mnyamazisha gwajima ?
me naamini kila jambo Mungu analiachilia kwa makusudi maalumu
Mungu hapendi watu wake waonewe, ndio maana kipindi chote tokea dunia iumbwe aliwatuma manabii/ watu mbali mbali ili waje kutetea wanaoonewa...hivyo Gwajima ametumwa kuja kututetea kutokana na madharimu yaliyopo....ama kuna la uongo lolote ambalo amelizungumza ukiacha mambo yake mengine ya kibinaadamu?
 
hakuna la uongo sababu anayetuhumiwa hajataka kukubali au kukanusha .. zaidi hili tukio la juzi ndiyo limezidi kuonyesha kuna kaukweli yawezekana anatumia cheti cha mtu
 
Gwajima hachafuliki, mmepaka kuhusu madawa ya kulevya ila ndo kwanza amekuwa mweupe.
 
Hata mi nna mashaka God is Bae sio jina lako.
 
Kwenye imani nae wanaenda wewe kama una shaka nae achana nae kwani amekulazimisha uende kanisani kwake ? Fikiri kabla ya kuropoka
 
hakuna la uongo sababu anayetuhumiwa hajataka kukubali au kukanusha .. zaidi hili tukio la juzi ndiyo limezidi kuonyesha kuna kaukweli yawezekana anatumia cheti cha mtu
asante kwa kuwa kama tuko pamoja kimawazo, unajua hata mimi Gwajima simuelewi tokea enzi za sakata la Mbasha na Flora, ila kwenye haya mambo mengine ambayo yanaitia doa serikali namuunga mkono kwa asilimia zote aendelee kusema pengine mbeleni Tanzania itafikia kuwa nchi ya ahadi
 
nami namuomba asikubali kufunga mdomo wake aseme tu ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…