Mchungaji Gwajima ni nani? Tukianzia hapa Tutajua namna ya Kudeal na watu aina yake

Duh...!.
Japo siungi mkono kauli hizi za Gwajima kumtukana Pengo, ila
Wanabodi, kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, kuna just common interest.
Japo katika bandiko hili, nilitofautiana na Gwajima, lakini kufuatia kwa sasa ni mimi ni kada, na mgombea aliyepitishwa na chama chetu kwa jimbo la Kawe ni Gwajima, naomba kudeclare kuwa sasa namuunga mkono Gwajima 100% kwa 100% nikalikomboe jimbo, tulirejeshe CCM!.
Mimi na Gwaji Boy...dam dam!.
P
 
Wakweli wote watauona ufalme wa mbingu paskali wewe ni mmoja wapo!
 
Me huwa najiuliza,hawa waumini wa kanisa la gwajima huwa ni binadamu wa kawaida au misukule!
Jiulize wanaojilipuapia, utashangaa kugundua kumbe hao wa Gwajima angalau wana fahamu kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…