The Sheriff
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 747
- 2,112
Mchungaji Richard Hananja anasema wale wote wanaouza vitu katika nyumba zao za ibada wakatwe kodi kwani ni kama tu wamehamishia maduka kwenye nyumba za ibada.
Siku hizi nyumba nyingi za ibada zinazomilikiwa na watu binafsi zimekuwa na utaratibu wa kuuzia waumini wao vitu kama vile maji, mafuta na bidhaa nyingine ambazo wanadai zinasaidia katika uponyaji wa kiroho.
Vipi, unakubaliana na Mchungaji?