The Sheriff
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 747
- 2,112
Kweli KODI!Mchungaji Richard Hananja anasema wale wote wanaouza vitu katika nyumba zao za ibada wakatwe kodi kwani ni kama tu wamehamishia maduka kwenye nyumba za ibada.
Siku hizi nyumba nyingi za ibada zinazomilikiwa na watu binafsi zimekuwa na utaratibu wa kuuzia waumini wao vitu kama vile maji, mafuta na bidhaa nyingine ambazo wanadai zinasaidia katika uponyaji wa kiroho.
Vipi, unakubaliana na Mchungaji?
View attachment 3062969
Viongozi wenyewe hasa hawa wakisiasa wa chama chawala ndio wateja wao wakubwaMchungaji Richard Hananja anasema wale wote wanaouza vitu katika nyumba zao za ibada wakatwe kodi kwani ni kama tu wamehamishia maduka kwenye nyumba za ibada.
Siku hizi nyumba nyingi za ibada zinazomilikiwa na watu binafsi zimekuwa na utaratibu wa kuuzia waumini wao vitu kama vile maji, mafuta na bidhaa nyingine ambazo wanadai zinasaidia katika uponyaji wa kiroho.
Vipi, unakubaliana na Mchungaji?
View attachment 3062969
Huna loloteViongozi wenyewe hasa hawa wakisiasa wa chama chawala ndio wateja wao wakubwa