Mchungaji, Imam au Sheikh akifanya makosa unalifuta kanisa au Utaufuta msikiti? Kwanini taasisi ifutwe kwa kosa la mtu mmoja?

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Nimetafakari kwa muda na kupitia baadhi ya kanuni na taratibu za kusajili taasisi za Kidini. Sheria ipo wazi Kanisa linasajiliwa si na mtu mmoja bali ni Watu wasiopungu 12 kwa ngazi za Kiongozi. Ambazo ni Askofu Mkuu Makamu Askofu, Katibu Mkuu, Mhazina n.k.

Lakini pia Kanisa linakuwa na Bodi ya Wadhamini. Sasa inashangaza kidogo pale Mchungaji anapokosea linawajibishwa Kanisa zima linafutwa kabisa tena kwa amri tu ya dakika mbili tatu.

Hakuna aliyekamilika na hakuna Dini iliyosafi asilimia mia ,si Maaskofu ,Mapadre, Maimamu Wala Mashekhe makosa yakibinadamu na hata ya makusudi yapo mengi sana. Mbona hamjazifuta taasisi kama Roman Catholic pale Mapadre wanapohusishwa na kashfa nzito ,kote duniani ?

Mnachofanya ni kudeal na mhusika na kuliacha Kanisa salama, Kwa nini hizi double standard zinaendekezwa sana ! Unalifuta Kanisa lenye watu 1000 kwa kosa la mtu mmoja ? Sheria ya wapi hiyo ? Kwanini asiwajibishwe ama kufukuzwa mhusika ?

Juzi tumesikia Mchungaji wa TAG Mwanza kafanya mauaji je mmelifuta Kanisa? Kiongozi mkubwa wa Kanisa Katoliki Kagera amehusishwa na mauaji ya Binti mwenye ulemavu wa ngozi mbona hamjaifuta Catholic?

Mapadre wangapi duniani wanajitangaza kuwa ni mashoga mbona hamjaifuta Romani Katoliki? Wanawake wangapi wanabakwa na viongozi wa Dini na kesi zipo Mahakamani mbona hamjazifuta taasisi zao?

Msajili wa madhehebu ya Dini anafanya kazi kwa msukumo wa maneno ya mtandaoni na si kuzingatia Sheria Mnasema wanawatoza hela kwa nini msiwapeleke mahakamani ? Kwenye nyaraka zenu za usajili Kuna kifungu Cha Sheria kinachoonyesha ukomo wa mtu kuchangia kanisani kwa hiari yake ?

Ama Kuna Sheria inayosema watu waombewe wakiugua? Ama Kuna Sheria Ina sema watu waombewe Bure ama ni utashi wa Imani ya taasisi husika? Kuna dini isiyokuwa na michango ? Nadhani imeboreshwa tu kwa majina. Kuna Makanisa yana sadaka mpaka sita.

Mtu anatoa mara sita bado michango mbalimbali ya maendeleo ya Kanisa lao mmewahi kuweka ukomo? Pale Moshi Rais Samia alichangia zaidi ya milioni mia ujenzi wa kanisa Moja.

Je alitapeliwa ? Zile si ni Kodi zetu ? Pitieni Sheria Mchungaji akifanya makosa awajibishwe yeye na sio taasisi yake.
 
Unajichanganya tu kwa kitu usichokuwa na uelewa nacho.

Kwanza usiconfuse Kanisa (Church) na huduma (Ministry)

Huyo Kiboko ya wachawi hilo siyo kanisa bali ni huduma.

Ukitaka kujifunza vizuri leo jumapili angalia ni madhehebu gani yanayopewa free airtime kwenye tv ujuwe hayo ndio makanisa.
 
Umemaliza mkuu
 
.... Sheria ipo wazi Kanisa linasajiliwa si na mtu mmoja bali ni Watu wasiopungu 12 Mbona hamjazifuta taasisi kama Roman Catholic pale Mapadre wanapohusishwa na kashfa nzito ,kote duniani ?
Kabla sijaendelea, huo usajili unauzungumzia wa Tanzania au duniani?
 
Mapadre wangapi duniani wanajitangaza kuwa ni mashoga mbona hamjaifuta Romani Katoliki?
Naona umeamka na hasira dhidi ya RC. Ni wapi huko ambako padri wa RC amejitangaza kuwa ni shoga na akabaki salama?
 
Naona watu wanakuja kwa kasi kumtetea solola bien mobali na ngai kiboko ya maviboko ya uchawi🤣🤣🤣
 
Nimetafakari kwa muda na kupitia baadhi ya kanuni na taratibu za kusajili taasisi za Kidini. Sheria ipo wazi Kanisa linasajiliwa si na mtu mmoja bali ni Watu wasiopungu 12 kwa ngazi za Kiongozi. Ambazo ni Askofu Mkuu Makamu Askofu, Katibu Mkuu, Mhazina n.k.

Lakini pia Kanisa linakuwa na Bodi ya Wadhamini. Sasa inashangaza kidogo pale Mchungaji anapokosea linawajibishwa Kanisa zima linafutwa kabisa tena kwa amri tu ya dakika mbili tatu.

Hakuna aliyekamilika na hakuna Dini iliyosafi asilimia mia ,si Maaskofu ,Mapadre, Maimamu Wala Mashekhe makosa yakibinadamu na hata ya makusudi yapo mengi sana. Mbona hamjazifuta taasisi kama Roman Catholic pale Mapadre wanapohusishwa na kashfa nzito ,kote duniani ?

Mnachofanya ni kudeal na mhusika na kuliacha Kanisa salama, Kwa nini hizi double standard zinaendekezwa sana ! Unalifuta Kanisa lenye watu 1000 kwa kosa la mtu mmoja ? Sheria ya wapi hiyo ? Kwanini asiwajibishwe ama kufukuzwa mhusika ?

Juzi tumesikia Mchungaji wa TAG Mwanza kafanya mauaji je mmelifuta Kanisa? Kiongozi mkubwa wa Kanisa Katoliki Kagera amehusishwa na mauaji ya Binti mwenye ulemavu wa ngozi mbona hamjaifuta Catholic?

Mapadre wangapi duniani wanajitangaza kuwa ni mashoga mbona hamjaifuta Romani Katoliki? Wanawake wangapi wanabakwa na viongozi wa Dini na kesi zipo Mahakamani mbona hamjazifuta taasisi zao?

Msajili wa madhehebu ya Dini anafanya kazi kwa msukumo wa maneno ya mtandaoni na si kuzingatia Sheria Mnasema wanawatoza hela kwa nini msiwapeleke mahakamani ? Kwenye nyaraka zenu za usajili Kuna kifungu Cha Sheria kinachoonyesha ukomo wa mtu kuchangia kanisani kwa hiari yake ?

Ama Kuna Sheria inayosema watu waombewe wakiugua? Ama Kuna Sheria Ina sema watu waombewe Bure ama ni utashi wa Imani ya taasisi husika? Kuna dini isiyokuwa na michango ? Nadhani imeboreshwa tu kwa majina. Kuna Makanisa yana sadaka mpaka sita.

Mtu anatoa mara sita bado michango mbalimbali ya maendeleo ya Kanisa lao mmewahi kuweka ukomo? Pale Moshi Rais Samia alichangia zaidi ya milioni mia ujenzi wa kanisa Moja.

Je alitapeliwa ? Zile si ni Kodi zetu ? Pitieni Sheria Mchungaji akifanya makosa awajibishwe yeye na sio taasisi yake.
Dominic kaa kwa kutulia.

Hizo ulizotaja ni taasisi za kidini. Lakini kanisa lako ni lako wewe kama founder na mtendaji. Ulihodhi madaraka yote ndio maana hakuna matawi nchini isipokuwa wewe ndiye main branch na wewe ndiye campus. Makanisa ya aina hiyo ni kama vijiwe vya mafundi simu na tv. Fundi akiugua, ofisi lazima ifungwe. Akifa ndio kabisa na ofisi inapotea.
 
Hamieni kongo msitusumbue.
 
Unajichanganya tu kwa kitu usichokuwa na uelewa nacho.

Kwanza usiconfuse Kanisa (Church) na huduma (Ministry)

Huyo Kiboko ya wachawi hilo siyo kanisa bali ni huduma.

Ukitaka kujifunza vizuri leo jumapili angalia ni madhehebu gani yanayopewa free airtime kwenye tv ujuwe hayo ndio makanisa.
Tv ipi boss tbc ? Au unafahamu maana ya tv ? Sikiliza hao wanaopewa airtime tbc ni vibaraka wa ccm
 
Dominic kaa kwa kutulia.

Hizo ulizotaja ni taasisi za kidini. Lakini kanisa lako ni lako wewe kama founder na mtendaji. Ulihodhi madaraka yote ndio maana hakuna matawi nchini isipokuwa wewe ndiye main branch na wewe ndiye campus. Makanisa ya aina hiyo ni kama vijiwe vya mafundi simu na tv. Fundi akiugua, ofisi lazima ifungwe. Akifa ndio kabisa na ofisi inapotea.
Sio kweli hakuna kanisa ambalo halina uongozi
 
Nimetafakari kwa muda na kupitia baadhi ya kanuni na taratibu za kusajili taasisi za Kidini. Sheria ipo wazi Kanisa linasajiliwa si na mtu mmoja bali ni Watu wasiopungu 12 kwa ngazi za Kiongozi. Ambazo ni Askofu Mkuu Makamu Askofu, Katibu Mkuu, Mhazina n.k.

Lakini pia Kanisa linakuwa na Bodi ya Wadhamini. Sasa inashangaza kidogo pale Mchungaji anapokosea linawajibishwa Kanisa zima linafutwa kabisa tena kwa amri tu ya dakika mbili tatu.

Hakuna aliyekamilika na hakuna Dini iliyosafi asilimia mia ,si Maaskofu ,Mapadre, Maimamu Wala Mashekhe makosa yakibinadamu na hata ya makusudi yapo mengi sana. Mbona hamjazifuta taasisi kama Roman Catholic pale Mapadre wanapohusishwa na kashfa nzito ,kote duniani ?

Mnachofanya ni kudeal na mhusika na kuliacha Kanisa salama, Kwa nini hizi double standard zinaendekezwa sana ! Unalifuta Kanisa lenye watu 1000 kwa kosa la mtu mmoja ? Sheria ya wapi hiyo ? Kwanini asiwajibishwe ama kufukuzwa mhusika ?

Juzi tumesikia Mchungaji wa TAG Mwanza kafanya mauaji je mmelifuta Kanisa? Kiongozi mkubwa wa Kanisa Katoliki Kagera amehusishwa na mauaji ya Binti mwenye ulemavu wa ngozi mbona hamjaifuta Catholic?

Mapadre wangapi duniani wanajitangaza kuwa ni mashoga mbona hamjaifuta Romani Katoliki? Wanawake wangapi wanabakwa na viongozi wa Dini na kesi zipo Mahakamani mbona hamjazifuta taasisi zao?

Msajili wa madhehebu ya Dini anafanya kazi kwa msukumo wa maneno ya mtandaoni na si kuzingatia Sheria Mnasema wanawatoza hela kwa nini msiwapeleke mahakamani ? Kwenye nyaraka zenu za usajili Kuna kifungu Cha Sheria kinachoonyesha ukomo wa mtu kuchangia kanisani kwa hiari yake ?

Ama Kuna Sheria inayosema watu waombewe wakiugua? Ama Kuna Sheria Ina sema watu waombewe Bure ama ni utashi wa Imani ya taasisi husika? Kuna dini isiyokuwa na michango ? Nadhani imeboreshwa tu kwa majina. Kuna Makanisa yana sadaka mpaka sita.

Mtu anatoa mara sita bado michango mbalimbali ya maendeleo ya Kanisa lao mmewahi kuweka ukomo? Pale Moshi Rais Samia alichangia zaidi ya milioni mia ujenzi wa kanisa Moja.

Je alitapeliwa ? Zile si ni Kodi zetu ? Pitieni Sheria Mchungaji akifanya makosa awajibishwe yeye na sio taasisi yake.
Kwa haya makanisa ya KICHAWI[yasiyo na Bodi],ambayo viongozi wao,-''mitume,manabii,makuhani'' n.k,..utendaji kazi/huduma zao haitofautiani na za waganga wa kienyeji [wachawi],.,,ni vyema yakifungiwa na hata kufutwa kabisa kwasababu yamekuwa ni janga kwa jamii/taifa.
 
Nimetafakari kwa muda na kupitia baadhi ya kanuni na taratibu za kusajili taasisi za Kidini. Sheria ipo wazi Kanisa linasajiliwa si na mtu mmoja bali ni Watu wasiopungu 12 kwa ngazi za Kiongozi. Ambazo ni Askofu Mkuu Makamu Askofu, Katibu Mkuu, Mhazina n.k.

Lakini pia Kanisa linakuwa na Bodi ya Wadhamini. Sasa inashangaza kidogo pale Mchungaji anapokosea linawajibishwa Kanisa zima linafutwa kabisa tena kwa amri tu ya dakika mbili tatu.

Hakuna aliyekamilika na hakuna Dini iliyosafi asilimia mia ,si Maaskofu ,Mapadre, Maimamu Wala Mashekhe makosa yakibinadamu na hata ya makusudi yapo mengi sana. Mbona hamjazifuta taasisi kama Roman Catholic pale Mapadre wanapohusishwa na kashfa nzito ,kote duniani ?

Mnachofanya ni kudeal na mhusika na kuliacha Kanisa salama, Kwa nini hizi double standard zinaendekezwa sana ! Unalifuta Kanisa lenye watu 1000 kwa kosa la mtu mmoja ? Sheria ya wapi hiyo ? Kwanini asiwajibishwe ama kufukuzwa mhusika ?

Juzi tumesikia Mchungaji wa TAG Mwanza kafanya mauaji je mmelifuta Kanisa? Kiongozi mkubwa wa Kanisa Katoliki Kagera amehusishwa na mauaji ya Binti mwenye ulemavu wa ngozi mbona hamjaifuta Catholic?

Mapadre wangapi duniani wanajitangaza kuwa ni mashoga mbona hamjaifuta Romani Katoliki? Wanawake wangapi wanabakwa na viongozi wa Dini na kesi zipo Mahakamani mbona hamjazifuta taasisi zao?

Msajili wa madhehebu ya Dini anafanya kazi kwa msukumo wa maneno ya mtandaoni na si kuzingatia Sheria Mnasema wanawatoza hela kwa nini msiwapeleke mahakamani ? Kwenye nyaraka zenu za usajili Kuna kifungu Cha Sheria kinachoonyesha ukomo wa mtu kuchangia kanisani kwa hiari yake ?

Ama Kuna Sheria inayosema watu waombewe wakiugua? Ama Kuna Sheria Ina sema watu waombewe Bure ama ni utashi wa Imani ya taasisi husika? Kuna dini isiyokuwa na michango ? Nadhani imeboreshwa tu kwa majina. Kuna Makanisa yana sadaka mpaka sita.

Mtu anatoa mara sita bado michango mbalimbali ya maendeleo ya Kanisa lao mmewahi kuweka ukomo? Pale Moshi Rais Samia alichangia zaidi ya milioni mia ujenzi wa kanisa Moja.

Je alitapeliwa ? Zile si ni Kodi zetu ? Pitieni Sheria Mchungaji akifanya makosa awajibishwe yeye na sio taasisi yake.
Hivi unajua maana ya taasisi mkuu!?...k
 
Back
Top Bottom