Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Mpendwa wetu ametutoka alfajiri ya kuamkia leo akipatiwa matibabu ya kibinadamu Hospitali ya Taifa Muhimbili
Taratibu za mazishi zitatolewa baadaye
Tunatoa pole kwa wafiwa na wote walioguswa na msiba.
Mtumishi ameumaliza mwendo salama
2 Wakorinto 1: 3-4
Taratibu za mazishi zitatolewa baadaye
Tunatoa pole kwa wafiwa na wote walioguswa na msiba.
Mtumishi ameumaliza mwendo salama
2 Wakorinto 1: 3-4