Mchungaji Kimaro: Viongozi makini hawahitaji Chawa wa kuwasifiasifia bali wanawapenda wakosoaji wanaowaambia ukweli ili wajiimarishe

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema taifa letu Chawa wamejaa kila kona na kuwapofusha macho viongozi wetu.

Dr Kimaro amesema Chawa wako kila mahali kuanzia kwenye vyama vya siasa hadi makanisani.

Mchungaji Kimaro anasema Kiongozi makini huwapenda wakosoaji kwa sababu wanapomueleza Ukweli wanamfanya ajirekebishe na kujijenga zaidi.

Lakin Wabunge na Mawaziri wengi huwapenda Chawa kwa sababu wanapenda kudanganywa.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
 
Kimaro aache unafiki, ametoka kwenye misingi ya neno la Mungu sasa anaangalia popularity. Enzi za Mwendazake alikua akisifia kila kitu
Kila zama na kitabu chake
 
Kwani yeye amekatazwa kuwa Chawa?

Harafu hii mentality ya kipumbavu imetoka wapi kwamba kuwa kiongozi au mpinzani mzuri lazima uwe unakosoa na kupinga kila kitu?

Mwisho anaefanya vizuri ndio husifiwa,na ni upumbavu kudhani kila anaemsifia kiongozi ni Chawa.
 
Mchungaji Kimaro amekugusa?
 
Wapi pameandikwa "kukosoa na kupinga kila kitu"!!???
Pole sana kwa kuguswa.
Pole sana kwa uzuzu.
 
Wewe chawa pro max hujambo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…