Mchungaji Kimaro: Viongozi makini hawahitaji Chawa wa kuwasifiasifia bali wanawapenda wakosoaji wanaowaambia ukweli ili wajiimarishe

Hakuna aliyempinga nani hii akabakia salama.

Wote wameliwa vichwa.

Madaraka matamu sana asikuambie mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…