MwanaHabari
JF-Expert Member
- Nov 9, 2006
- 442
- 13
Nyie watu, ni nani mwenye jukumu la kulea yatima? ni Lwakatare?
Jukumu la kulea yatima ni la kwetu sote, kama yeye anarudisha hao yatima makwao tatizo liko wapi? Ningeona vibaya kama angeamua kuwatelekeza, kumbe yeye ametimiza wajibu wake, basi ni kazi yetu sasa kujadili kama tunaweza kuwachukua au la?
Tusiwe mafundi wa kuongea ilihali kumbe hata moyo wa kuwasaidia yatima ndani ya familia zetu hatuwezi.
Nyie watu, ni nani mwenye jukumu la kulea yatima? ni Lwakatare?
Jukumu la kulea yatima ni la kwetu sote, kama yeye anarudisha hao yatima makwao tatizo liko wapi? Ningeona vibaya kama angeamua kuwatelekeza, kumbe yeye ametimiza wajibu wake, basi ni kazi yetu sasa kujadili kama tunaweza kuwachukua au la?
Tusiwe mafundi wa kuongea ilihali kumbe hata moyo wa kuwasaidia yatima ndani ya familia zetu hatuwezi.
sasa mama yuko siasani hebu tusubiri tuone kitakachoendelea
..... Tusiseme sana, ngoja tusubiri uthibitisho.
Kwa vile mtindio ni tatizo la kuzaliwa nalo, si busara kucheka kilema ni kumuombea uponywaji.Ndo unakumbuka shuka asubuhi?
Usiseme nini wakati umeshamaliza yoote na kuua personality ya mtu bila uthibitisho..
Hawa ndo ma-pundit wa JF..LOL..
Kwa vile mtindio ni tatizo la kuzaliwa nalo, si busara kucheka kilema ni kumuombea uponywaji.
Hakuna ubishi juu ya wema wa Mama Rwakatare, kama walivyo baadhi ya matajiri akiwemo Mh. Mengi, ni kweli wanafanya mengi makubwa katika kusaidia watu na jamii yetu, but there is something fishy. Only ones with sixth sense can smell a rat. Achilia issue ya yatima, politics is a dirty game kwa mtu wa Mungu. Mengi anafanya politics za 'the King Maker' kwa kucheza mbali, huyu mama kaingia ndani kufanya nini?.
Time will tell
Bwana Asifiwe.Tuwaombee wenye mitindio wapate uponyaji. Tumsifu Yesu Kristu.
Give a dog a bad name... I thought Mtindiowaubongo was just a name, now I know your really Mtindio. God Bless you.Really? Naona umefilisika na kuanza kuichambua hata screen-name!! Haha ha mapundit wa JF kweli ni noma...yaani ni pure bull-crap and incompetent!
Nadhani ukiishirikisha akili kidogo kabla ya kuandika utagundua kila mtu ana maisha tofauti pamoja na kwamba ni mtu yuleyule. Anaweza kuwa mchungaji lakini bado ana nafasi mbalimbali ktk jamii. Iwe ni kama mama, kama Mh. mbunge n.k. Hizi ishu za kuingia bungeni hazihusiani na ishu tunayoiongelea ambayo ni ya kijamii kuhusu mayatima. Kama una matatizo na mambo yake ya kisiasa hapa si pahala pake. U-pundit ni pamoja na kuwa na uelewa wa kutofautisha issues..
Sawasawa?
Time will tell iwapo tutautumia muda vizuri na kuacha ujuvi na kuwa watu negetive bila sababu za msingi..
Jesus The Masih ataendelea kupewa sifa yake hususan na watu wanyenyekevu wasiowazulia wengine na wenye kujua wajibu wao ktk jamii.
Hali kadhalika tuzidi kuwaombea wale wenye mitindio ya kujitakia ..
Ameen..
Kibwagizo: Heaven is Hotter than Hell
Give a dog a bad name... I thought Mtindiowaubongo was just a name, now I know your really Mtindio. God Bless you.
Nimepata Habari kwamba mchungaji Lwakatare ameamua kurudisha Yatima 250 makwao kwa kisingizio kwamba hawezi kuwaangalia pale Tabata.
- Habari haijkaaa sawa, na hata ikiwa sawa hakuna tatizo mkuu kuwatunza watoto orphans ni ishu ya taifa na sisi wote sio ya Mama Rwakatare tu, tufikiri au kuuliza kabla ya kurukia JF.
Siri iliyokuwepo ni kuwa washughulikiaji wa Makanisa yote hapa nchini wanapokea misaada kutoka nchi za nje ,ili kueneza neno,tofauti na misikiti ambayo haiendeshwi kimisaada,japo ipo baadhi inayopokea misaada lakini ni michache sana,vile vile walimu wa makanisa ambao ni mapadre na wenginetele wao wanapokea mishahara au fedha kutoka katika mashirika ya Kikristo tofauti na vyuo vya kiislamu ambavyo vimejaa mitaani au hata vingine huwemo majumbani na vinajiendesha kivyakevyake ,sidhani kama kuna elimu ya kikiristo inayotolewa majumbani au kuna mtu labda amejitolea awe anafundisha ukristo nyumbani ,kwa kweli mimi sijaona au sijasikia kuwepo kwa kitu hicho
I think watu mna miss point, Orphans ndiyo wanatunzwa na Taifa Lote, lakini kuwarudisha tu kwao kisa unataka kuanzisha University, I am concerned with that notion. I have confirmed this story already na baadhi wanaorudi hawana ndugu huko kwao, dont think sihusiki na kulea yatima, ila ukiwatreat kama comodities tu kuendeleza miradi yako, dont do it in the first place (you cant downsize orphans!!)...these are fragile people especially the sick ones that need more care than others....
I posted it here to find out if anyone knows more about the issue, what happens to them, maybe I can help with some rather than just have them bussed somewhere where they have no hope in sight...