johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mchungaji Agnes Mangala wa KKKT Usharika wa Highlands ametoa wito Kwa Wananchi wote kujiandikisha Kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za mitaa
Mchungaji Agnes Mangala amesema kila mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea ni Wajibu wake kujiandikisha na kuchagua viongozi wa kuliongoza taifa
Source Upendo Tv
Nawatakia Dominica Njema 🌹
Mchungaji Agnes Mangala amesema kila mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea ni Wajibu wake kujiandikisha na kuchagua viongozi wa kuliongoza taifa
Source Upendo Tv
Nawatakia Dominica Njema 🌹