Me naona wazike tu kimya kimya.. sasa mtu anakufa tu bila historia ya ugonjwa?Kwa nini hawasemi chanzo?R.I.P Ndemi.
"Wapo walioenda huko nje kuchanjwa wametuletea corona za ajabu-ajabu". Jpm
Me naona wazike tu kimya kimya.. sasa mtu anakufa tu bila historia ya ugonjwa?
Na historia yake wala haisemwi yani kama ville tunaish kijiji kimoja
Huyu muda wake wakutumikia wanadamu umeisha na hapo ana 80 yrs kuendelea.
Apumzike kwa amani.
Kwa nini hawasemi chanzo?R.I.P Ndemi.
Hii ikukupata wewe iyapendeza sana. Maana akili zenu za kijinga sana"Tanzania hakuna Corona, Ipo chache sana, wapo walioenda kuchanjwa huko nje wametuletea Corona ya ajabu-ajabu ". Jpm
Me naona wazike tu kimya kimya.. sasa mtu anakufa tu bila historia ya ugonjwa?
Na historia yake wala haisemwi yani kama ville tunaishi kijiji kimoja
Mitano tena, Ni Yeye...Vipi wale watalii waliokuwa wanakuja wakijinasibu kuwa Tanzania ndiko ambako ni pekee wanakokwenda na hawasumbuliwi kwa lolote na mambo ya hii ngwengwe? Eti kuwa huku ndiko iliko "tourists destination" na hivyo tutavuna sana mapema, nasi tukachekelea?
Kwa nini wasiwe wao ndiyo walio tuletea hii corona ya ajabu ajabu mheshimiwa jpm?
Kweli tamaa mbele mauti nyuma.
CHANZO Cha Matatizo yote ni kilekile, tunda alilokuwa EvaKwa nini hawasemi chanzo? R.I.P Ndemi.
Unafeli wapi mkuu hapo nimenikuu kauli ya mh. Ili kuondoa ile notion kuwa kila kifo ni coronaHii ikukupata wewe iyapendeza sana. Maana akili zenu za kijinga sana