Mchungaji Mashimo: Akili za Ali Kamwe zipo kwenye Pua, Manara anafungua domo lake kama Punda

Hajawahi kuwa na hatakuwa na waumini anaowaongoza zaidi ya kuhubiri pale Stend ya Mbezi. Hana lolote ajualo katika uchungaji na wala hana uchungaji ni mbabaishaji tu.
Ana upuuzi na ujinga mwingi sana sijui uo wito wa uchungaji aliutolea wap.
 
Kuna watu wanakuja kusapoti huu upuuzi, subiri hapo hapo nchi hii wengi Wana kisamvu kichwani.
 
 
Sasa huyo Haji Manara anafungua domo lake kama la punda wawawaaaaa, ananitukana mimi. Who are you by the way? Mimi ni brand, brand yangu ni zaidi ya Haji Manara”
 
Tunaoishi Mbezi tunamjua vizuri huyu jamaa..Hana lolote la uchungaji ni mjanja mjanja tu..huwa asubuh Sana anakuja na vispika vyake anaanza kuhubiri apate sadaka, nakumbuka siku moja akawa anawaambia wasafiri walikuwa kwenye gari ya kwenda Moshi kuwa wasipotoa sadaka watapata ajali njiani, mjanja mjanja Sana jamaa[emoji3][emoji3][emoji119]
 
Kiufup ni tapeli
 
Mimi ndiyo maana sijutii kuwa Mkatoliki. Maana huku hatuna matope kama hayo.

Hata kama baadhi ya Mapadre wetu wana madhaifu ya hapa na pale! Ila siyo kwa kiwango cha hao wahuni waliotapakaa kote duniani kwa sasa.
Ila unatetea yanayofanywa na manara, ndio ukatoliki unavyotaka!!!! Basi sawa mkuu
 
Ujinga ni kwamba nchi hii baya likifanywa na upande wako pendwa unalipulizia marashi,
Ila likifanywa na upande wa pili utalivalia njuga hatari........


Manara alikuwa simba akawafanyia ujinga mwingi yanga ,kipindi hiko simba walikuwa wanakenua meno tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Leo yanawarudi wao wanamuona mbaya hahahaha hii ndio kutesa kwa zamu,binafai najua na naamini kweli manara anaongea pumba ,ujinga ila kwakuwa zinawakera mikia NINAFURAHIπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nawasikitikia wanaoabudu katika kanisa lake (ni vihiyo)
 
Kama 'mchungajji' yuko hivi, je anaowachunga wakojeeee!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…