kaota tu ndoto za kishetani kama alivyoota Kibwetele akachoma moto wenzie kanisani.Mchungaji mashimo ame prove ndoto niliyoota ya Simba kula nyingi
Sio Mkristo huyoKabisa anaharibu sifa ya Ukristo tena wasioongee naye kwa upole Wamfokee hasa
Huyu jamaa anafanana akili na MaghayoMCHUNGAJI MASHIMO ATOA TAMKO BAADA YA AHMED ALLY KUMKATIA SIMU
"Nimeona watu wa simba wanajisifu wapo juu wamesahau kuna mtu aliewafanya wawepo hapo juu, wamesahau kwamba mimi ndio nlisema simba SC kuwa itafanya vizuri Msimu huu na tayari wamechukua ngao ya jamii
Nimempigia simu msemaji wa simba Ahmed ally awaambie viongozi watoe sadaka yao kabla mchezo wa Super League Dhidi ya Al Ahly lakini hajapokea simu Yangu ameikata !
Mwambieni ikifika hadi jioni saa 10 hawajatoa sadaka Basi watapata laana watafungwa magoli mengi na Al Ahly, sitaki mashabiki watoe sadaka zao hii wanatakiwa kutoa viongozi wa simba sio mashabiki
Yanga niliwaambia watoe fungu la Kumi Wakadharau, laana Ambayo nimeishusha kwao ni Kushika Nafasi ya Tatu kwenye Ligi kuu Hadi watakapoleta Ile sadaka iliyobakia ya msimu uliopita, na wasipotoa hawatafika Popote wataishia Makundi" Amefunguka Mchungaji wa Taifa Pastor Daniel Mashimo
LuoBoy MediaView attachment 2787173
[emoji23][emoji23]Walio karibu na huyu mchungaji naomba wamsaidie!! Hajiharibii yeye tu bali anaupaka matope ukristo wote!! Nadhani anafanya mzaha, lakini si kitu kizuri kutumia nafasi ya uchungaji iliyo ya heshima kubwa kufanya mzaha!! Wakristo hatujaitiwa kulaani bali kubariki!!
Cc @dinnonHuu sio Ukristo, huyu ni wakala wa shetani
πππππππππππππ€ͺπ€ͺπ€ͺMCHUNGAJI MASHIMO ATOA TAMKO BAADA YA AHMED ALLY KUMKATIA SIMU
"Nimeona watu wa simba wanajisifu wapo juu wamesahau kuna mtu aliewafanya wawepo hapo juu, wamesahau kwamba mimi ndio nlisema simba SC kuwa itafanya vizuri Msimu huu na tayari wamechukua ngao ya jamii
Nimempigia simu msemaji wa simba Ahmed ally awaambie viongozi watoe sadaka yao kabla mchezo wa Super League Dhidi ya Al Ahly lakini hajapokea simu Yangu ameikata !
Mwambieni ikifika hadi jioni saa 10 hawajatoa sadaka Basi watapata laana watafungwa magoli mengi na Al Ahly, sitaki mashabiki watoe sadaka zao hii wanatakiwa kutoa viongozi wa simba sio mashabiki
Yanga niliwaambia watoe fungu la Kumi Wakadharau, laana Ambayo nimeishusha kwao ni Kushika Nafasi ya Tatu kwenye Ligi kuu Hadi watakapoleta Ile sadaka iliyobakia ya msimu uliopita, na wasipotoa hawatafika Popote wataishia Makundi" Amefunguka Mchungaji wa Taifa Pastor Daniel Mashimo
LuoBoy MediaView attachment 2787173
KamshauriAtakulaani
Sahihi kwenye familia yake labda,hata kama Simba atafungwa kama anavyodai but still itakua haijafungwa kwasababu ya maneno yake,huyo anatafuta tu popularity.Labda Yuko sahihi
We phalla upo?Cc @dinnon
Nchi Hii Ina Mambo Ya Hovyo HovyoYanga na Simba mmesikia mungu wenu atawalaani