Umeeleweka mkuu...hili jambo lingekemewa na wakristoFreedom of worship ruksa lakini kudai sadaka kwa watu kwa nguvu na lazima that not worship ni utapeli ,ujambazi na ushetani
Full stop .Worship does not involve use of force na kutishia kudai sadaka kwa watu
Pepo tu hilo Mashimo
Linachafua tu Ukristo
Wakristo wasimkubali kama Mchungaji ,Nabii au whatever vyeo anajivika anachafua imani Ya Kikristo ionekane ya hovyo mbele ya mataifa
Ni agent wa shetani huyo kuuchafua Ukristo
Atengwe na Asikaribishwe kanisa lolote wala kutambuliwa huo.utumishi wake anajivika
Na kama ana waumini hao waumini waondoke hilo kanisa wahamie makanisa mengine waachane na huyo shetani
yaan huyu mchungaji namfananisha na gentamicyn 😀😀🤣Popularity
AaahaaàaaaaMCHUNGAJI MASHIMO ATOA TAMKO BAADA YA AHMED ALLY KUMKATIA SIMU
"Nimeona watu wa simba wanajisifu wapo juu wamesahau kuna mtu aliewafanya wawepo hapo juu, wamesahau kwamba mimi ndio nlisema simba SC kuwa itafanya vizuri Msimu huu na tayari wamechukua ngao ya jamii
Nimempigia simu msemaji wa simba Ahmed ally awaambie viongozi watoe sadaka yao kabla mchezo wa Super League Dhidi ya Al Ahly lakini hajapokea simu Yangu ameikata !
Mwambieni ikifika hadi jioni saa 10 hawajatoa sadaka Basi watapata laana watafungwa magoli mengi na Al Ahly, sitaki mashabiki watoe sadaka zao hii wanatakiwa kutoa viongozi wa simba sio mashabiki
Yanga niliwaambia watoe fungu la Kumi Wakadharau, laana Ambayo nimeishusha kwao ni Kushika Nafasi ya Tatu kwenye Ligi kuu Hadi watakapoleta Ile sadaka iliyobakia ya msimu uliopita, na wasipotoa hawatafika Popote wataishia Makundi" Amefunguka Mchungaji wa Taifa Pastor Daniel Mashimo
LuoBoy MediaView attachment 2787173
Aaahaa ndiyoTujisalimishe mkuu???
Hakuna kitu kama hiko. Kwanza ana mtindio wa Akili. Hakuna mchungaji wala mtumishi yoyote mwenye akili timamu 100 akafanya huo upuuzi wa Mashimo.Don't judge a book by looking cover
Tapeli mkubwa huyu.MCHUNGAJI MASHIMO ATOA TAMKO BAADA YA AHMED ALLY KUMKATIA SIMU
"Nimeona watu wa simba wanajisifu wapo juu wamesahau kuna mtu aliewafanya wawepo hapo juu, wamesahau kwamba mimi ndio nlisema simba SC kuwa itafanya vizuri Msimu huu na tayari wamechukua ngao ya jamii
Nimempigia simu msemaji wa simba Ahmed ally awaambie viongozi watoe sadaka yao kabla mchezo wa Super League Dhidi ya Al Ahly lakini hajapokea simu Yangu ameikata !
Mwambieni ikifika hadi jioni saa 10 hawajatoa sadaka Basi watapata laana watafungwa magoli mengi na Al Ahly, sitaki mashabiki watoe sadaka zao hii wanatakiwa kutoa viongozi wa simba sio mashabiki
Yanga niliwaambia watoe fungu la Kumi Wakadharau, laana Ambayo nimeishusha kwao ni Kushika Nafasi ya Tatu kwenye Ligi kuu Hadi watakapoleta Ile sadaka iliyobakia ya msimu uliopita, na wasipotoa hawatafika Popote wataishia Makundi" Amefunguka Mchungaji wa Taifa Pastor Daniel Mashimo
LuoBoy MediaView attachment 2787173
Si anajiita mchungaji!!Mkuu we unaona huyu ni mchungaji?
Mchungaji shithole!Mchungaji Mashimo ametoa tamko hili Baada Ya Ahmed Ally Kumkatia simu alipompigia ili atoe sadaka.
Pastor kafungukaa.....
"Nimeona watu wa simba wanajisifu wapo juu wamesahau kuna mtu aliewafanya wawepo hapo juu, wamesahau kwamba mimi ndio nilisema Simba SC kuwa itafanya vizuri msimu huu na tayari wamechukua ngao ya jamii
Nimempigia simu msemaji wa simba Ahmed ally awaambie viongozi watoe sadaka yao kabla mchezo wa Super League Dhidi ya Al Ahly lakini hajapokea simu Yangu ameikata !
Mwambieni ikifika hadi jioni saa 10(masaa mawili kabla mechi haijapigwa) na hawajatoa sadaka basi watapata laana watafungwa magoli mengi na Al Ahly, sitaki mashabiki watoe sadaka zao hii wanatakiwa kutoa viongozi wa simba sio mashabiki
Yanga niliwaambia watoe fungu la Kumi Wakadharau, laana Ambayo nimeishusha kwao ni Kushika Nafasi ya Tatu kwenye Ligi kuu Hadi watakapoleta Ile sadaka iliyobakia ya msimu uliopita, na wasipotoa hawatafika Popote wataishia Makundi"
Hilo ndio tamko la Mchungaji mpenda kiki wa Taifa Pastor Mashimo.
Maoni Yako ni yapi kuhusu kazi ya mchungaji, ipi mipaka yake, je na huku kwenye kandanda kaitwa na Mungu kutumika?
Anaweza kuwa mchungaji jambaziMkuu we unaona huyu ni mchungaji?
Nadhani ahadi za mama Abdul hupandisha mashetani ya pastor Mashimo kudai sadaka haramu kutoka kwenye hivyo vilabu 😁Mtu mwenyewe anaitwa mashimo,basi atumie hayo mashimo yake kujiinguzia kipato asisumbue timu za Simba na Yanga kila wakati.
.My doubt.., inawezekana Simba walimpa sadaka before deadline.....that's y wame draw