johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Amen!Hongera kwa kuwa muumini wa kanisa la Korogwe Kimara
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Mimi ni muumini wa Kanisa la Mungu!We muumini wa Kimara KKKT?
Kanisa la Wale maaskofu wa mito ha baraka wanaolia hadharani?Mimi ni muumini wa Kanisa la Mungu!
Ndiyo hao hao wachumia tumbo tu wanacheza na jinsi upepo unavyo vuma.Lakini huyu Matsai si alishasema Mungu ameiepusha Tanzania na Corona?
Lakini huyu Matsai si alishasema Mungu ameiepusha Tanzania na Corona?
Ma-DED, ma-DC na maafisa wengine wa serikali wamevua watu barakoa mbele ya media.
Matsai anajua hili?
Kama taarifa zipo ila hauna uwezo wa kuzitafuta na kupata majibu, hilo siyo kosa langu.hicho kitambaa kitakuokoa vipi na Corona?
Imani yako itakuponya, na kila mtu na imani yakeMa-DED, ma-DC na maafisa wengine wa serikali wamevua watu barakoa mbele ya media.
Matsai anajua hili?
Kwa kweli sasa waumini tunaonekana hatuna akili kabisa wakati sisi ndio watoa sadaka inayowafanya wasimame madhabahuni,Ndiyo hao hao wachumia tumbo tu wanacheza na jinsi upepo unavyo vuma.
Kama taarifa zipo ila hauna uwezo wa kuzitafuta na kupata majibu, hilo siyo kosa langu.
Sasa mbona unaleta controversies hapa?Angalia hapoView attachment 1713694
Hao watu wanatumia sana nguvu nyingi za giza kutupumbaza hivyo kushindwa kudadisi au kuhoji.Kwa kweli sasa waumini tunaonekana hatuna akili kabisa wakati sisi ndio watoa sadaka inayowafanya wasimame madhabahuni,
Ndiyo hao hao wachumia tumbo tu wanacheza na jinsi upepo unavyo vuma.