#COVID19 Mchungaji Mastai: Kuchukua tahadhari dhidi ya Corona hakuhitaji kusubiri tamko la Rais

Anacheza na muelekeo wa upepo maana yupo pale kutafuta ridhiki tu na watu kama hao ndiyo wanakuwaga wanatumiwa na kina chakubanga
Kweli kabisa maana mwanzoni kipindi cha kampeni ya ugombea urais aliandaa kiti kabisa madhabahuni na akawaambia waumini wake eti cha lowasa maana ni tayari Rais[emoji2][emoji2]
 
Mchungaji Matsai alimuombea RC Paul Makonda hadi akalia machozi.

Huyu ni mtumishi wa kweli!
Sifa tuu hana lolote kashashika watu kawaweka kiganjani ndio maana wanamsujudu sana.
Juzi tuu hapa kamwombeaa mgonjwa baada ya maombi mgonjwa ndio akato form ya maradhi yake kumbe inasemekana ni korona mbona kidogo ajinyee kwa woga
 
Yule mgonjwa alipona Corona saa ile ile!
 
Kweli kabisa maana mwanzoni kipindi cha kampeni ya ugombea urais aliandaa kiti kabisa madhabahuni na akawaambia waumini wake eti cha lowasa maana ni tayari Rais[emoji2][emoji2]
Hawa majamaa sinaga kabisa na imani nao maana wengi wanahusishwa na nguvu za giza
 
Hawa waliojianzishia makanisa yao kamwe usiwaamini maana plan yao ni kutafuta fweeezaaa tu
Siyo kanisa lake ni m KKKT sema ni kama ana haki miliki ya kanisa, haguswi.
 
Hivi tumefikia kubeza watumishi wa mungu. Nina wasiwasi sana. Naomba tuwe makini.
 
Hivi tumefikia kubeza watumishi wa mungu. Nina wasiwasi sana. Naomba tuwe makini.
Ndugu sio kubeza hata mimi ni mkristu lakini kushuhudia hao watumishi wana sema kitu halafu wanakikana tena unafikiri kondoo tutasimama wapi? na mtumishini mtu kama sisi waamini kwahiyo akikosea tutamwambia tu.
 
Raisi aseme marangapi..mwishowe atachoka..mbowe nae atoe tamko kama kwel anawapenda wafuasi wake..

awausie wakereketwa wake kwamba;

wasikanyage mahali popote penye mikusanyiko.wasiende minadani, misibani, stend, masokon, viwanjani, nk maana anawapenda..waache ccm wafe na covid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…