Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Hata mimi huwa naona kaubaguzi fulani katika mambo haya;R.I.P mchungaji.
Ila kwanini wengine tuseme Amekufa,au kafariki au kupoteza kaisha alagfu wengine tuwape Neno (Usingizi wa umauuti)?
Tusiweke Madaraja hali ya kuwa wenye kuamini huamini Munu ndo ajuaye nafasi(daraja) ya mtu
ukijibiwa unistue MkuuHata mimi huwa naona kaubaguzi fulani katika mambo haya;
Mwingine anaitwa Marehemu
Mwingine anaitwa Hayati
Mwingine anaitwa yule jamaa aliyekufa
Madaraja yapo na yatakuwepo, wengine kaburini husaliwa na mapadri, mashehe, wachungaji, manabii na mitume! Mtu mmoja kaburi moja; wewe je! Huenda utasaliwa na rafiki au jirani yako.R.I.P mchungaji.
Ila kwanini wengine tuseme Amekufa,au kafariki au kupoteza kaisha alagfu wengine tuwape Neno (Usingizi wa umauuti)?
Tusiweke Madaraja hali ya kuwa wenye kuamini huamini Munu ndo ajuaye nafasi(daraja) ya mtu
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe..Bwana ametoa
Bwana ametwaa
Mkuu mbona unaleta utani ktk jambo la huzuni? hebu weka mambo ya kitapeli mbali tumuombee Mtumishi huyu.Mshtue Gwajima afanye yake ya kufufua wafu
Corona bado ipo na inaua,tuchukue tahadhariMungu ampumzishe Salama Mpendwa wetu
Taarifa zaidi kutolewa na Kanisa & Familia
Bwana ametoa
Bwana ametwaa
sikuelewagi ujueRevelation 14:13
I heard the voice from heaven saying, "Write, 'Blessed are the dead who die in the Lord from now on.'" "Yes," says the Spirit, "that they may rest from their labors; for their works follow with them."
Mungu ampumzishe Salama Mpendwa wetu
Taarifa zaidi kutolewa na Kanisa & Familia
Bwana ametoa
Bwana ametwaa