Huyo jamaa wa mwisho nimecheka sanaHata mimi huwa naona kaubaguzi fulani katika mambo haya;
Mwingine anaitwa Marehemu
Mwingine anaitwa Hayati
Mwingine anaitwa yule jamaa aliyekufa
Kufa kufa tu mkuu....R.I.P mchungaji.
Ila kwanini wengine tuseme Amekufa,au kafariki au kupoteza kaisha alagfu wengine tuwape Neno (Usingizi wa umauuti)?
Tusiweke Madaraja hali ya kuwa wenye kuamini huamini Munu ndo ajuaye nafasi(daraja) ya mtu
🤣😂Huyo jamaa wa mwisho nimecheka sana
Why?sikuelewagi ujue
umefanya kazi ya kuhukumu ambayo ni kazi ya mola..Wa motoni huyooooo!!!! Wasabato wanapotoa biblia na kukana kwa Siri utendaji kazi wa Roho mtakatifu.
Tujihadhari tusiungane nae motoni kwa kuokoka na kuiishi biblia
Mbona wengine wanamuelekeza mola kwa kumlaza? Hii ni mitazamo yetu na haibadilishi alipo jiandalia hapa dunianiumefanya kazi ya kuhukumu ambayo ni kazi ya mola..
kumbe wengine? Sasa mkuu kama wanamuelekeza na wwe unataka kuelekeza au umesahau huyo huyo mungu unae mwabudu kwenye maandiko anasema" usihukumu usijeukahukumiwa"Mbona wengine wanamuelekeza mola kwa kumlaza? Hii ni mitazamo yetu na haibadilishi alipo jiandalia hapa duniani
Unasaidiaje kurejesha huko au nawe ni walewale wa kulaumu bila kuchukua hatua.Wasabato toka jiwe awarudishie ndembela secondary Tukuyu wamekuwa waunga juhudi hadi wanaboa Hasa Viongozi they confuse sana dini na siasa humo humo ... Sabato ya sasa imepoteza misingi Sana...sio kama zamani Enzi zetu za adventures na pathfinder....
Kwan kanisa la gwaji boy master comred kipepe linaitwaje?Mkuu mbona unaleta utani ktk jambo la huzuni? hebu weka mambo ya kitapeli mbali tumuombee Mtumishi huyu.
Ukawa wa nani sasa?Makanisa mengi ya waadventista wana migogoro na majirani nyumba zinazo wazunguka wakibishania mipaka...wabishi sana.
Juzi nilikuta mahali flani wanabishania mti uliopo kwenye mpaka ni wa nani
Mabishano yalikua makali. Kanisa likawa na hoja eti "... kama tumeshindwa kuelewana BASI MTI UKATWE TUKOSE WOTE"Ukawa wa nani sasa?